Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka
jiwe la msingi katika ufunguzi wa Madrasa ya Al-Madrasatul Munawwaratul
Islamiyyah ya KilimaninTazari Zanzibar ikiwa sehemu ya ziara yake ya mkoa wa
Kaskazini Unguja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akihutubia wakazi wa Sheihiya ya Kilimani waliojitokeza kwa wingi kwenye
ufunguzi wa Madrasa ya Al-Madrasatul Munawwaratul Islamiyyah ya KilimaninTazari
Zanzibar ikiwa sehemu ya ziara yake ya mkoa wa Kaskazini Unguja.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki
dua maalum mara baada ya zoezi la ufunguzi wa Madrasa ya Al-Madrasatul
Munawwaratul Islamiyyah ya KilimaninTazari Zanzibar kukamilika ikiwa sehemu ya
ziara yake ya mkoa wa Kaskazini Unguja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangaliadua maalum mara baada ya zoezi la ufunguzi wa Madrasa ya Al-Madrasatul
Munawwaratul Islamiyyah ya KilimaninTazari Zanzibar kukamilika ikiwa sehemu ya
ziara yake ya mkoa wa Kaskazini Unguja.
ramani ya msikiti mkubwa unaojengwa kwa nguvu za wananchi alipotembelea Uwanja
wa Jitimai uliopo Kidoti mkoa wa Kaskazini Unguja.
…………………………………………………………………….
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi na
walezi wa Tanzania Zanzibar waache tabia ya kuwaoza wasichana wa kike wakiwa na
umri mdogo bali wawasomeshe kwa ajili ya manufaa yao ya jamii kwa ujumla.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan ametoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti wakati akizindua
madrasa ya kisasa iliyojengwa kwenye eneo la Kilimani na kukagua ujenzi wa
vyumba vya madarasa na ujenzi wa msikiti mkubwa kuliko yote nchini Tanzania unaojengwa
katika eneo la Jitimai kidoti katika Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa michango ya
wananchi katika siku yake ya kwanza ya ziara ya Kikazi Kisiwani Unguja.

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema kama wazazi na walezi watasomesha watoto wa
kike elimu watakayopata itasaidia kwa kiasi kikubwa wasichana hao kufanya
maamuzi sahihi na yenye tija katika jamii.

Amesisitiza kuwa pamoja na elimu kuwa ni haki ya msingi kwa mtoto wa kike hivyo ni muhimu
kwa jamii nzima ya Zanzibar ihakikishe watoto wa kike wote wanapata elimu kwani
watakuwa na uwezo wa kuchagua na kuandaa mustakbali wa maisha yao ya baadaye
ikilinganishwa na hali ilivyo sasa kwenye baadhi ya maeneo.

Kuhusu elimu ya dini, Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amewahimiza wazazi na walezi kuwalea
watoto katika maadili mema kwa kuzingatia maandiko matakatifu ya Mtume Mohammad
(S.A.W).

Amesema vijana wengi wanaolelewa kwa kufuata misingi ya bora ya dini ni vigumu
kurubuniwa na kujiingiza katika matendo yasiyofaa katika jamii.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

No comments :
Post a Comment