Tuesday, December 6, 2016

MAJALIWA AWASILI NGORONGORO ngom1

ngom1
 Wasichana wakicheza ngoma ya asili ya kabila la Wiraq wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha, Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri)
ngom2
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya Wairaq  baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
ngom3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya kabila la Wairaq baada kuwasili kwenye ofisi za Mamlaka ya  Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 6, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na wapili kulia kwake ni  Waziri  wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment