Saturday, December 3, 2016

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA ARUSHA

koni-1
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha mkuki na ngao alivyopewa na wazee wa kimasai wa Arusha kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
koni
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Arusha wakati alipowasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid  kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 3, 2016. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment