Mkurugenzi wa Mradi wa Ujenzi Kijiji cha
Utalii Matemwe Zanzibar Pennyroyal Gibraltar Limited Zanzibar Amber
Resort Mr. Saleh Mohammed Said akizungumza kabla ya kuaza kwa hafla hiyo
ya utilianaji wa Saini ya Ujenzi wa Mradi huo na Kampuni ya MCC
Overseas Ltd ya China, hafla hiyo ya utianaji wa saini hyo umefanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyyat Shangani Zanzibar.
Mkurugenzi wa Mradi wa Ujenzi Kijiji cha
Utalii Matemwe Zanzibar Pennyroyal Gibraltar Limited Zanzibar Amber
Resort Mr. Saleh Mohammed Said akizungumza kabla ya kuaza kwa hafla hiyo
ya utilianaji wa Saini ya Ujenzi wa Mradi huo na Kampuni ya MCC
Overseas Ltd ya China, hafla hiyo ya utianaji wa saini hyo umefanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Park Hyyat Shangani Zanzibar.kulia Mkurugenzi
Mkuu wa Pennyroyal Gibraltar Limited Mr Brian Thomson akiwa na
Mwenyekiti wa Kampuni ya MCC Overseas Limited ya China Mr Leo Zou.wakiwa
katika ukumbi wa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa
Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Limited "Zanzibar Amber Resort" Mr Brian
Thomson na kulia Mwenyekiti wa Kampuni ya MCC Overseas Limited ya China
Mr. Leo Zou, wakibalishano mikatabaa hiyo baada ya kusaini.ujenzi wa
Mradi huo wa Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Mkoa wa Kaskazini
Unguja. akishuhudia utilianaji wa saini hiyo katikati Katibu Mkuu Wizara
ya Fedha Zanzibar Mr. Khamis Mussa. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Limited "Zanzibar Amber Resort" Mr Brian Thomson, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya utilianaji wa saini iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Park Hyyat Shangani Zanzibar na kuhudhuriwa na wageni mbalimbali katika hafla hiyo.
Mwenyekiti wa Kampuni ya MCC Overseas Limited ya China Mr. Leo Zou, akizunguma baada ya hafla ya utilianaji wa saini ujenzi wa mradi wa Kijiji cha Utalii cha Matemwe Zanzibar
Wageni waalikwa wakifuatila hafla hiyo
ya utilianaji wa saini baina ya Pennyroyal Gibraltar Limited na MCC
Overseas Limited ya China itakayojenga majengo ya Mradi huo huko Matemwe
Zanzibar. Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wawakilishi wa Kampuni ya MCC Overseas limited ya China wakifuatilia hafla hiyo.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg
Khamis Mussa akizungumza baada ya hafla hiyo utilianaji wa saini baina
ya Kampuni ya Pennyroyal na MCC Overseas.
Waalikwa wakiwa katika hafla hiyo.
Wageni waalikwa wakifuatilia hafla hiyo
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg
Khamis Mussa akimsikiliza Mwenyekiti wa MCC Overseas Mr. Leon Zou,
wakibadilishana mawazo baada ya hafla hiyo.
Muwekezaji wa Mradi wa Pennyroyal
Zanzibar Mr Brian Thomson akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha
Zanzibar Ndg Khamis Mussa, baada ya kumalizika kwa hafla ya utilianaji
wa saini.
Wafanyakazi wa Pennyroyal wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaslizika kwa hafla hiyo.
Mkurugenzi Mkuu Pennyroyal Mr Brian
akibadilisha mawazo na wageni wakati wakati wa kupata viburudisho katika
viwanja vya hoteli hiyo.
Wageni waalikwa wakiwa katika viwanja vya hoteli Park Hyyat wakipata vitafunio baada ya hafla hiyo.
Kikundi cha Taarab cha Dulla Ganuni kikitoa burudani wakati wa hafla hiyo. katika viwanja vya Park Hyyat Shangani Zanzibar
Imeandaliwa na OthmanMapara.blog.
Zanzinews.com
othmanmaulid@gmai.com
0777 424152 0715424152
NA SALIM SAID, TANGA
MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania
(TPA), Deudence Kakoko, amewataka wafanyakazi wa mamlaka hiyo kufanya kazi kwa
bidii ili kwenda kasi ya Serikali ya
awamu ya Tano.
Akifungua michezo ya Tano ya Mamlaka ya
Usimamizi wa Bandari Tanzania (INTERPORTS GAMES) viwanja vya shule ya Sekondari
ya Popatlal Tanga jana, Kakoko, alisema kila mfanyakazi wa Mamlaka hiyo
anapaswa kujua wajibu wake.
Alisema kasi hiyo iende sambamba na uboreshaji
wa utoaji huduma bandarini na kuwa kivutio kwa wageni ili kuweza kuitumia kwa
kushusha shehena zao bandari za Tanzania.
Michezo hiyo inashirikisha wafanyakazi
wachezaji kutoka Tanga ambao ni wenyeji, Dar es Salaam,, Mtwara na Bandari za
Ziwa.
Pichani juu, Kakoko akikagua wachezaji wa timu hizo
kabla ya kuanza kwa mtanange huo. wakati picha za chini zikionyesha timu hizo zikipita kujitambulisha mbele ya mashabiki
No comments :
Post a Comment