Makamu
wa Rais wa Benki ya Kimataifa ya Exim ya Nchini China Bwana Sun Ping
akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar Nd.
Khamis Mussa.
Pages
Saturday, December 24, 2016
EXIM BENKI YA CHINA YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi kushoto pamoja na
Makamu wa Rais wa Benki ya Kimataifa ya Exim ya Nchini China Bwana Sun
Ping wakiingia ndani ya Ukumbi kwa ajili ya mazungumzo ya pamoja ya
ushirikiano kati nya pande hizo mbili. Nyuma ya Balozi Seif Kushoto ni
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mh. Mohamed
Ahmed Salum.
SOMA ZAIDI »
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment