Saturday, December 31, 2016

BONDIA OMARI KIMWERI AWAMWAGIA VIFAA MABONDIA WATANZANIA


Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto akimkabidhi vifaa vya ndondi kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ vilivyokabidhiwa kwa wadau mbalimbali nchini vifaa hivyo vimetolewa na Bondia Mtanzania anaefanya shughuli zake Victoria, Australia, Omari Kimweri picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Selemani Kidunda kushoto kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ na Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto wakiwa katika picha wa pamoja baada ya kukabidhi vifaa vilivyotoka kwa bondia Omari Kimweri anayefanya shughuli zake Australia
 picha na SUPER D BOXING NEWS

No comments :

Post a Comment