Mkurugenzi
Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC),
Theodosia Muhulo (kulia) akizungumza na waandishi wa habari katika Ofisi
zao zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, leo kuhusu kuiomba
Serikali kubadilisha sheria ya Mirathi ya Kimila inayomkandamiza
Mwanamke wakati inapotokea mume kufariki. Kushoto ni Mkurugenzi wa Umoja
wa Wajane Tanzania (TAWIA) Rose Sarwatt.
Aidha
Muhulo, alisema kuwa kumekuwa kukitokea matukio kadhaa ya kunyanyaswa
wajane pindi anapofariki mume, ambapo alitoa takwimu kuwa hadi sasa mkoa
unaoongoza kwa matukio hayo ni Mkoa wa Mbeya Wilaya ya Kyela.
Mkutano ukiendelea
Mkutano ukiendelea
Mkurugenzi
wa Umoja wa Wajane Tanzania (TAWIA) Rose Sarwatt (kushoto) akizungumzia
kuhusu Wajane waliofanyiwa matukio ya kunyanyaswa na ndugu wa mume
baada ya mume kufariki.
Mjane Elizabeth Stefano mkazi ya mkoani Mbeya, akitoa ushuhuda wa mambo aliyofanyika na shemeji yake mdogo wa marehemu mumewe.
Mjane Salome Charles, kutoka Mbeya akitoa ushuhuda wa mambo aliyofanyika na wanandugu wa mume.
No comments :
Post a Comment