Mjasiriamali kutoka kikundi cha
Mjasiriamali Jasiri Bibi. Dorcas Kibona (kushoto) akimuonyesha
Mkurugenzi Msaidizi Lugha kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Bibi. Shani Kitogo (kulia) moja ya bidhaa zinazoandaliwa na
kikundi chake leo Jijini Dar es Salaam wakati wa maonyesho ya Tamasha la
mwanamke mjasiriamali lililoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa
kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016 ambalo limesheheni bidhaa mbalimbali
za kiutamaduni kutoka nchi za Afrika Mashariki.
Mjasiriamali kutoka Mkoa wa Kagera
Bibi. Celilina Gabagambi (kushoto) akitoa maelezo juu ya bidhaa
alizoziandaa kwa ajili ya maonyesho kwa Mkurugenzi Msaidizi Lugha kutoka
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bibi. Shani Kitogo
(kulia) leo Jijini Dar es Salaam wakati wa maonyesho ya Tamasha la
mwanamke mjasiriamali lililoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa
kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016 ambalo limesheheni bidhaa mbalimbali
za kiutamaduni kutoka nchi za Afrika Mashariki.
Mjasiriamali wa bidhaa za
Utamaduni kutoka Uganda Bibi. Florence (kushoto) akimuonyesha Mkurugenzi
Msaidizi Lugha kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Bibi. Shani Kitogo (kulia) bidhaa za kiutamaduni kutoka Uganda leo
Jijini Dar es Salaam wakati wa maonyesho ya Tamasha la mwanamke
mjasiriamali lililoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa
kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016 ambalo limesheheni bidhaa mbalimbali
za kiutamaduni kutoka nchi za Afrika Mashariki.
Kijana Enock Mwigimba (aliyeinama)
kutoka Enock Design Products akiwafundisha wanawake wajasiriamali namna
ya kufuma mazuria ya kufutia miguu wakati wa maonyesho ya Tamasha la
mwanamke mjasiriamali lililoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa
kuhitimishwa tarehe 05 Novemba 2016 ambalo limesheheni bidhaa mbalimbali
za kiutamaduni kutoka nchi za Afrika Mashariki.
Baadhi ya mabanda ya maonyesho ya
Tamasha la mwanamke mjasiriamali kutoka nchi za Afrika Mashariki
yaliyosheheni malighafi za kiutamaduni wakati wa maonyesho hayo
yaliyoanza tarehe 30 Oktoba, 2016 na kutarajiwa kuhitimishwa tarehe 05
Novemba 2016.
No comments :
Post a Comment