Tuesday, November 1, 2016

LEO KATIKA BUNGE NOVEMBA 1, 2016


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa  Kawe, Halima Mdee kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Novemba 1, 2016. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 201
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wanawake kutoka bunge la Zimbabwe kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 201
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rombo, Joseph Selasini kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma  Novemba 1, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mbozi  Magharibi,  David  Silinde  (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Suzan Lymo kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Waziri  wa Nchi,  Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, Jenista Mhagama akizungumza bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Singida  Kaskazini , Lazaro Nyalandu kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Novemba 1, 2016.
Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Mbunge wa Sengerema, William Ngeleja, bungeni mjini Dodoma Novemba 1, 2016

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na Mbunge wa Tarime,



Washiriki wa Ikungi Half Marathon 2016 wakitimua mbio kutafuta ushindi

WANAUME KM. 21
 
NA.
JINA KAMILI
UMRI
MUDA
TARAFA
KATA
BIBS NAMBA
1.
PAULO ITAMBU
25
1:08:55
MUNGAA
MUNGAA
396
2.
SAMWEL SHABANI
20
1:09:06
MUNGAA
MUNGAA
356
3.
JONAS JOHN
22
1:09:25
MUNGAA
MUNGAA
366
4.
ELIBARIKI SAIMON
29
1:10:57
IHANJA
ISEKE
338
5.
JAFARI RAJABU
26
1:11:06
IHANJA
KITUNTU
369
6.
HAMISI ATHUMANI
25
1:12:02
IHANJA
ISEKE
343
7.
SAMSON LYIMO
23
1:12:37
MUNGAA
MAKIUNGU
357
8.
MUSA JUMANNE
26
1:13:53
MUNGAA
MUNGAA
346
9.
JOHN SIMBA
23
1:15:07
IHANJA
PUMA
340
10.
EMANUEL NJOGHOMI
30
1:15:34
IHANJA
KITUNTU
339
11.
ABEDNEGO WILSON
18
1:15:46
IHANJA
MUHINTIRI
345
12.
MORIS JOSEPH
21
1:15:50


Mgeni rasmi, Mke wa Rais Mstaafu Mama Anna Mkapa, akiongea na wafanyakazi  wa Bayport, waandishi  wa  habari   na  walimu  wa  kituo cha kulelea   watoto   yatima  cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wakati  wakusherehekea    miaka 10 ya Bayport ambayo   ilifanyika  katika  kituo  hicho   juzi, Kibaha  mkoani      Pwani.


Mkurugenzi Mtendaji   wa Bayport, John Mbaga, akiongea  na  wafanyakaziwa Bayport, waandishi  wa habari na walimuwakituo cha kuleleawatotoyatima  cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wakati wakusherehekeamiaka 10 ya Bayport ambayoilifanyikakatikakituohichojuzi, KibahamkoaniPwani.


Baadhi ya  wafanyakazi    wa Bayport Tanzania wakiwa   valishafulanawatotoyatimawanaolelewakatikakituo cha kulelea  Watoto Yatima cha Kibaha Children Village Center, wakati  wafanyakazi   hao   walipokwenda   kusherehekamiaka 10 ya kampuni   hiyo


Wafanyakazi   wa Bayport wakipiga   picha  ya   pamoja   kwenye   bango  lao


Watoto wakibembea   wakati  wa   kusherehekea   miaka 10 ya Bayport Tanzania
Watoto   wakiwa   wanakula   pamoja   kusherehekea    miaka 10 ya Bayport Tanzania















Wafanyakazi   wa  bayport  wakiwa  katika  picha  ya  pamoja  naviongozi, watoto  yatimanawatotowawafanyakaziwa Bayport Tanzania, wakati  wa  kusherehekea   miaka 10 ya Bayport ambayo   ilifanyika   katika    kituo cha kulelea   watoto  yatima cha Kibaha Children Village Center (KCVC), wengine  pichani (Kuliakwa Mama Mkapa) ni   MkurugenziMtendajiwa Bayport John Mbagana  Mkuu  wa   kitengo cha Masoko   na Mawasiliano  NgulaCheyo.



NEWS AGENCY
Rwandan President Paul Kagame posted a photo on Facebook driving a black Range Rover with the king on the front seat.
The two were later seen chatting on arrival at the airport after fruitful talks during Mohammed VI's visit.
Guards were seen waiting for the King to alight from the Range Rover.
Kenyans took to Kagame's page and posted messages of admiration for his humble gesture.
"Someone give us Kagame for just 2 years to end this corruption in Kenya," Silas Kiplagat posted.
Another Kagame admirer Musa Haji Goh posted: "This jacaranda man is one rare breed. .. I admire him and he earned my respect. .there are few like him but someone to compare him in Africa leadership .. I haven't seen or heard... I salute you Mr President."
"Thanks Mr Kagame (president of Rwanda). When you finish with Rwanda come back home and help us to solve the mess on our land - corruption, that is giving our president (Uhuru Kenyatta) sleepless nights. No one cares about labourers, all big fish go freely around and no one is doing any thing. Keep working hard for the best and better lives of Rwanda citizens," posted Anthony Gatimu.
Despite the admiration, Kagame has been accused of clinging to power and running a dictatorial government since taking over after the 1994 genocide.
The King visited Rwanda last week, marking the first tour of the monarch to East African states since coronation in 1999.
He was received by president Kagame and other senior government officials at the airport.
The three-day state visit to Rwanda came within the strategy designed by the King.
It was aimed at diversifying its partnerships and strengthening its ties with important players in Africa.
During his visit the king was accompanied by Crown Prince Moulay Ismail.
Mohammed VI visit comes months after Morocco announced its intention to return to African Union.
The King was traveling to Tanzania and Ethiopia.





880A0166
Mkenya Olive Kiarie, ameibuka mshindi wa kwanza katika shindano la kujifunza maisha, al aarufu kama Maisha Plus, safari hii shindano hilolilikutanisha washiriki kutoka nchi tano za Afrika Mashariki, Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burudni isipokuwa Sudani Kusini. Katika shindano hilo lililodumukwa zaidi yasiku 50, washiriki waliishi kwenye pori, liliopewa kijiji na kuishi maisha halisi ya kiafrika kwa kipindi chote hicho, huku wakijifunza tamaduni, kazi za mikono kubadilishana ujuzi lakini pia kujifunza namna ya kuishi kwa kufuata mazingira yanayokuzunguka. Katika shindano hilo lililokuwa la mtoano lilianza na washiriki 30 na wakabaki 16 ambaondio waliingia fainali na hatimaye Olive Kiarie, akaibuka mshini wa kwanza na kujinyakulia shilingi milioni 30 za Kitanzania. Pichani Olive (katikati), akikabidhiwa mfano wa hundi yenye thamaniya kiasi hicho cha fedha kutoka kwa mwakilishi wa kituo cha runinga cha Azam, (kushoto) na babu wa kijiji
Winner “Kwanza napenda kumshukuru Mungu. Nimetoka Kenya kuja kutafuta hii pesa na nimeipata, hivyo namshukuru Mungu. Nawashukuru mabeste wangu wote, na wote walionipa sapoti. Asante pia Babu.” Alisema Olive huku akitoka machozi baada ya kutangazwa mshindi. 880A9842 Hii ni mara ya kwanza kwa taji hilo kwenda nje ya Tanzania ikiwa ni msimu wa tano toka mashindano haya yaanze mwaka 2009. Olive anakua msichana wa pili kujishindia taji hilo baada ya Bernick Kimiro aliyeshinda mwaka 2012.
880A0015 880A0011 880A0009 880A0005 Washiriki Aloyce Sambuta, Irene Ishengoma, Alex Essau, Ngenda Pilly, Nibigira Baswari, Grace Pemba, Denaice Machocho, Umubyeyi Solange, Assimwe Marvin, Salmin Omary, Rukia Athuman, Mike Curtywer, Yasinta Mrisho, Karekezi Jean na Namita Cherrie walifanikiwa kuingia fainali ambazo zilirushwa jana usiku na kituo cha televisheni cha Azam Two.Washiriki walioingia Top 5 ya Maisha Plus Washiriki walioingia Top 5 ya Maisha Plus kutoka kushoto: Aloyce Sambuta, Alex Essau, Olive Kiarie, Irene Ishengoma na Ngenda Pilly.[/caption] Katika hatua nyingine washiriki wanne walipewa tuzo. Aloyce Sambuta alipata tuzo ya Rais bora na kupewa jumla ya Tshs.Laki nne, Ngenda Pili alipata tuzo ya mshiriki mwenye heshima kubwa, Mike Cutywer alipaza tuzo ya mshiriki mdogo wa kiume wakati Namita Cherrie alipata tuzo ya mshiriki mdogo wa kike. Top 3 ya Maisha Plus kutoka kushoto: Aloyce Sambuta, Olive Kiarie na Irene Ishengoma Top 3 ya Maisha Plus Aloyce Sambuta, Olive Kiarie na Irene Ishongoma[/caption] Wasanii Ommy Dimpoz na Joh Makini walitoa burudani wakati wa fainali hizo. 880A9978 880A0043 880A0055   880A0125 880A0127 880A0129 880A0130 880A0132 880A0134  880A0169 880A0172 880A0184 880A0210  

No comments :

Post a Comment