Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya
jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangalawa pili kushoto
akipokea Masada wavitanda 50 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Merck
ya Afrika ya Kusini Stefan Maron watatu kushoto kwa ajili ya hospitali
na vituo vya afya nchini wakati wakukabidhiwa Vitanda hivyo,magodoro 50
na vyandarua 100.
Naibu Waziri wa afya Maendeleo ya
jamii,jinsia,wazee na Watoto Dkt. Hamisi Kigwangala wa pili kushoto
akipokea Msada wa Vyandarua 100 kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya
Merck ya Afrika ya kusini Stefan Maron watatu kushoto kwa ajili ya
hospitali na vituo vya afya nchini wakati wa kukabidhiwa Vitanda
hivyo,magodoro 50 na vitanda 50.
No comments :
Post a Comment