Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa
kwaheshima yake
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na
mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila
Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu alikomwandalia dhifa ya Kitaifa kwa
heshima yake
Rais
Joseph Kabila akimwamkia Rais Mstaafu wa awamu ya pili Alhaj Ali Hassan
Mwinyi Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa
iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake
Rais
Joseph Kabila akimwamkia Mama Sitti Mwinyi, Mke wa Rais Mstaafu wa
awamu ya pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Ikulu jijini Dar es salaam usiku
huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa
heshima yake
Rais
Joseph Kabila akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Anne Makinda Ikulu
jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na
Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake
Rais
Joseph Kabila akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Mhe. Zuberi Ali Maulid Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu katika dhifa
ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima yake
Sehemu ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC
Sehemu
ya waliohudhuria dhifa ya Kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt Magufuli
kwa heshima ya Rais Joseph Kabila wa DRC. Kutoka kushoto ni rais Mstaafu
Ali Hassan Mwinyi, Mama Sitti Mwinyi, Spika wa Baraza la Wawakilishi
Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Eng. John
Kijazi
Sehemu
ya wageni waalikwa katika dhifa hiyo akiwemo Prof Makame Mbarawa,
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohammed Aboud Mohammed, Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Suzan Kolimba na Mawaziri kutoka DRC
Rais
Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete, Jaji Mkuu wa
Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman, Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph
Sinde Warioba, Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Kikanda na Kimataifa, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga na Waziri wa mambo ya
Nje wa DRC Mhe. Raymond Tshibanda
Wakuu wa vyombo vya ulinzi wa Tanzania na DRC
Sehemu ya Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi
Cecilia Kabila (kulia), mdogo wake Rais Joseph Kabila wa DRC alikuwepo
Wadau waalikwa
Waalikwa
Meza
kuu ikiwa na Rais Dkt Magufuli na mgeni wake Rais Joseph kabila na
Makamu wa rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth Magufuli
Rais Dkt Magufuli akiwa meza kuu na mgeni wake Rais Joseph kabila na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji
Wafanyabishara maarufu nchini Saidi Salim Bakhressa (kushoto) na Mohamed Dewji wakiwa na wenzao wa DRC na Tanzania
Msanii mkongwe Zahir Ally Zorro alikuwepo kutoa burudani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Wadau mbalimbali wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Mkalimani mahiri Dkt. Mussa Lulandala akiwa kazini
Wageni waalikwa wakifuatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kuhutubia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisisimua wasikilizaji wa hotuba yake
Mama
Janeth Magufuli akigonganisha glasi na Rais Joseph Kabila wa DRC baada
ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli
Glasi zikigongwanishwa baada ya hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Meza
kuu ikisimama wakati wimbo wa Taifa wa DRC ukipibgwa baada ya hotuba ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Waalikwa
wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhutubia
Wote
walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa DRC ukipigwa baada ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akihutubia
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akiendelea kuhutubia
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akimtakia heri
mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa
kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha
glasi kumtakia heri mwenyeji wake Rais Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya
Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha
glasi na Mama Janeth Magufuli kumtakia heri yeye na mwenyeji wake Rais
Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila akigonganisha
glasi na makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais
Dkt Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Joseph Kabila Rais Dkt
Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mama Janeth
Magufuli wakati wa dhifa ya Taifa iliyoandaliwa kwa heshima yake Ikulu
jijini Dar es salaam
Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa
Cecilia Kabila na wageni waalikwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa
Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia
Waalikwa wote walisimama wakati wa wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa baada ya Rais Joseph Kabila wa DRC kuhutubia
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bw. Gerson Msigwa akiendesha shughuli kwa weledi
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo
Mwanamuziki Christian Bella akitumbuiza kwenye dhifa hiyo
Makamu
wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimtuza mwanamuziki Christian Bella
kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
Mama Janeth Magufuli akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama Mama" kwenye dhifa hiyo
Mkurugenzi Mkuu wa TPA Eng. Deusdedit Kakoko akimtuza mwanamuziki Christian Bella kwa kutumbuiza wimbo maarufu wa "Nani kama mama
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Poverty Fighting Tanzania (PFT) na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akizungumza na wadau mbalimbali wa vikoba wakati wa mkutano wa kujadili mambo malimbali ya kuimarisha wakazi wa Temeke na kuwapatia mitaji na uwezo wakujikwamua kimaisha.
Hayo
yamefanyika Temeke Jijini Dar es Salaam na kuandaliwa naMwenyekiti
wa Bodi ya Taasisi ya Poverty Fighting Tanzania (PFT), Abbas Mtemvu
alipokuwa akizungumza na wanachama wa vikundi vya vikoba 102 kwa lengo la ikiwa
ni kuwainua na kuwasaidia katika hali za kimaisha (PICHA ZOTE NA KHAMISI
MUSSA)
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mhe Gedfrey Ngupula
Na Mathias Canal, Tabora
Tatizo la Mimba za utotoni na kuozesha wanafunzi katika umri mdogo
limetajwa kuwa ni kikwazo kikubwa katika jamii kwani watoto wa kike
wananyimwa haki ya kupata elimu ili kujikwamua na fikra mpya katika
uchumi na namna ya kuwa na familia bora na endelevu katika kukabiliana
na mabadiliko ya sayansi na teknolojia.
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mhe Gedfrey Ngupula Ameyabainisha hayo katika mahojiano maalumu na Mwandishi wa Mtandao wa www.wazo-huru.blogspot.com
kuhusu mikakati ya kukabiliana na mimba za utotoni pamoja na wazazi
kuwaachisha masomo watoto wao wa kike ili kuwaozesha kwa fikra potofu
za kupata mali zikiwemo Ng'ombe na fedha.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo
Kikuu cha Dodoma (UDOM), Gaudencia Kabaka kabla ya mazungumzo yao,
Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma Oktoba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha
Dodoma(UDOM), Gaudencia Kabaka (kulia kwake) na ujumbe wake, Ofisini kwake
mjini Dodoma Oktoba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Poverty Fighting Tanzania (PFT) na Kamanda wa Vijana Mkoa wa Dar es Salaam, Abbas Mtemvu akizungumza na wadau mbalimbali wa vikoba wakati wa mkutano wa kujadili mambo malimbali ya kuimarisha wakazi wa Temeke na kuwapatia mitaji na uwezo wakujikwamua kimaisha.
Afisa
Msaidizi Kitengo cha madeni sugu na mwezeshaji mafunzo ya ujasiliamali,
Abdallah Kavinga (kushoto) akizungumza na wadau hao wakati wa mkutano
na wadau hao uliofanyika Kata ya 15 Dar es Salaam
Baadhi ya wadau walioshiriki katika Mkutano huo
Baadhi ya Wawezeshaji wa Zone mbalimbali wakiratibu mabo mbalimbali
Mjumbe
wa Serikali ya Mtaa Keko Tolori, Flora Wazingwa akishukuru uongozi mzima
waTaasisi
ya Poverty Fighting Tanzania (PFT) baada ya kumalizika mkutano huo ambapo
aliomba uongozi huo kuzitatua changamoto mbalimbali wanazo pambana nazo
na kuwapatia Elimu ya mafunzo ya jinsi ya kupata Faida kufikia malengo na
mafanikio katika Vikundi vyao
No comments :
Post a Comment