Wednesday, September 28, 2016

AJALI YA AJABU BARABARA YA KILWA ENEO LA MTONI MTONGANI JIJINI



 Wapita njia wakitazama "maajabu" gari hili ililokuwa likitoka Mtongani kuelekea Mbagala jijini Dar es Salaam, likiwa limeacha nia na kuparamia kingo ya barabara lakini lakustaajabisha wengi gari hilo liliparamia kingo hiyo kwa nyuma kama inavyoonekana



CHAMA Cha Wananchi, CUF, kimetangaza kumvua uanachama wa Chama hicho, Mwenyekiti wake Profesa Ibrahim Haruna Lipumba ikiwa ni takriban sku tatu tu baada ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa nchini kumrejeshea uenyekiti wake ambao Baraza kuu la uongozi la chama hicho liliridhia barua yake ya kujiuzulu.
Kwa mujibu wa maafisa wa chama hicho, Baraza Kuu la Uongozi la CUF lililokutana visiwani Zanzibar jana na leo Septemba, 27, 2016, limeamua kumvua uanachama Profesa Lipumba, kwa maelezo kuwa hatua hiyo ni muhimu katika kukinusuru chama hicho kisisambaratike
Kwa mujibu wa maafisa hao uamuzi wa Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la CUF unatokana na uwezo wake kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 10 (1)(c) limemfukuza uanachama Prof. Ibrahim Lipumba.
Hata hivyo Profesa Lipumba alikaririwa akisema, kikao cha Baraza Kuu la Uongozi kilichofanyiak Zanzibar hakikuwa halali kwa vile mwenye mamlaka ya kuitisha kikao hicho ni Katibu Mkuu wa chama ambaye ni Maalim Seif Shariff Hamad, ambaye kwa sasa yuko ng'ambokwenye matibabu. "Kwa vile Maalim hayupo, mwenye mamlaka ya kuitisha kwa sasa ni Naibu KatibuMkuu wa chama (Tanzania Bara), ambaye ni Magdalena Sakaya, lakini mama Sakaya hakuitisha kikao hicho, hivyo ni kikao batili kwa mjibu wa katiba ya chama." Alikaririwa Profesa Lipumba jana Septemba 26, 2016 akisema

KOCHA SAM ALLARDYCE AACHIA MADARAKA YA UKOCHA WA UINGEREZA

MAJALIWA AKUTANA NA WAWEKEZAJI KUTOKA KOREA YA KUSINI

THE DIGITAL – READY BANK – WHAT THE AFRICAN BANKING MARKET CAN ( AND SHOULD ) LEARN FROM EUROPE

Darrel Orsmond Industry Head Financial Services at SAP Africa

CHALLENGE: According to a 2015 KPMG report, banking penetration is as low as 36% in some of the larger African economies.

SOLUTION: Digital Transformation can drive adoption of banking services by enabling banks to develop and deploy tailored, customer-focused products and solutions.

No sector or region is immune to the disruptive power of Digital Transformation. For the banking sector, this has meant radical changes in how services are offered and how technology is used to enable rapid deployment of new customer-centric innovations. 


A recent SAP-sponsored study of 250 banks in the EMEA region by IDC offers key insights into how banks have adapted their business models and operations to reap the benefits of Digital Transformation, and what African banks can learn from their success - and how they can avoid some of the pitfalls.

Africa at a glance
 

According to the United Nations, Africa's population is expected to surge to 2.4 billion by 2050. Due to Africa's largely youthful population and the aging population in most developed countries, forecasters expect that much of the world's labour will be supplied by the African continent. This increase in economic activity is expected to drastically increase the uptake in banking services among African workers. 

However, despite encouraging economic growth, most of Africa remains unbanked due to insufficient banking infrastructure, the perceived high cost of banking fees, and a disconnect between banking services and the needs of the customers they are meant to meet.

In Sub-Saharan Africa, bank branches are generally concentrated in high-population urban areas. Despite this, the European Investment Bank notes that these banks are typically high-cost operations that result in high service fees and a wide spread of interest rates. A 2014 World Bank paper showed that the average per-capita income in Sub-Saharan Africa is a mere $762. Banking products and services need to be carefully tailored to suit a diverse set of customer needs or risk losing traction in a market currently being disrupted by innovative start-ups.

Managing disruption
 

These upstart fintech companies are introducing new customer-centric innovation at a pace unmatched by the formal, traditional banking sector. While this clearly represents a threat to the incumbent banks, they should be wary of focusing on maintaining their traditional advantages and rather focus on utilizing technology to create new opportunities across the entire value chain. The ability to embrace disruptive fintech products and services will allow banks to ride the wave of uncertainty and emerge strong and future fit.

Despite the rapid pace of disruption and the evolution of the banking sector, most customer needs will be fundamentally the same five or even ten years from now. Saving for retirement, buying a house, paying for education, accessing medical services, tax and payroll - these needs are unlikely to change in any meaningful way. What is likely to change, however, is the role of the banking sector in providing such services, both for consumers as well as corporate clients

TIMU YA LEICESTER CITY YAENDELEZA USHINDI LIGI YA MABINGWA

TIMU YA BORUSSIA DORTMUND YALAZIMISHA SARE NA REAL MADRID

TOTTENHAM YAIZINDUKIA URUSI WAKATI SON HEUNG-MIN AKIENDELEZA MAKALI YAKE

KAMPUNI ZA KOREA KUSINI YAAHIDI KUWEKEZA NCHINI

SENSA YA MIFUGO KUANZA IRINGA

Mkuu wawila ya Iringa, Richard Kasesela akiongea na wananchi
Wananchi wa kata ya Mboliboli wamkisikiliza kwa makini Mkuu wa wilaya Iringa wakati akiongea na wananchi hao
Wananchi wa kata ya Mboliboli wakimsikiliza Mkuu wawila ya Iringa.

MKURUGENZI WA IDARA YA USALAMA NA MAZINGIRA, WIZARA YA UCHUKUZI AZINDUA MAADHIMISHO YA SIKU YA BAHARI DUNIANI

 Kulia ni Mgeni Rasmi kwenye Uzinduzi wa maadhimisho ya siku ya Bahari Duniani ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande kushoto ambaye alimuwakilisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,Makame Mbawara katika maashimidho hayo akiingia kwenye viwanja vya Tangamano kunakofanyika maadhimisho hayo katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra,Gilliard Ngewe kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga(Ras)Mhandisi Zena Saidi
 Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa TPA,Focus Mauki kushoto akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande aliyesimama katikati wakati alipolitembelea Banda la Mamlaka ya Bandari (TPA) kunakofanyika maadhimisho ya siku ya Bahari Dunia wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra,Gilliard Ngewe
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA),Joseph Msaki kushoto akimueleza jambo Mkurugenzi wa Idara ya Usalama na Mazingira, Wizara ya Uchukuzi, Tumpe Mwaijande wakati alipotembelea Banda lao leo

MAONYESHO YA FILAMU ZA BEIJING 2016 CHACHU KWA UKUAJI WA SANAA NCHIN

 Washindi wa kwanza hadi wa tatu wa mashindano ya sauti waliopatikana katika shindano hilo na kujipatia fursa ya kwenda kufanya kazi katika ofisi za makao makuu ya StarTimes yaliyopo jijini Beijing, China wakionesha tuzo baada ya kukabidhiwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura katika hafla iliyofanyika Dar es Salaam leo. Washiriki 10 walishinda mashindano hayo. Kutoka kushoto ni Hilda Malecela, Safiya Ahmed na Sadiq Kututwa.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura akisalimiana na mmoja wa washindi 10 wa mashindano ya vipaji vya sauti, Abraham Richard, ambao watakakwenda kufanya kazi makao makuu ya StarTimes jijini Beijing, China wakati wa hafla fupi ya Maonyesho ya Matangazo ya Tamthiliya za Runinga na Filamu za Beijing 2016.
 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Anastazia Wambura akizungumza na washindi hao.

DC KONGWA AMTUMBUA MENEJA WA MAMLAKA YA MAJI

1
Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe Deogratius Ndejembi akizungumza wakati wa kikao cha Kumng’oa Meneja wa Mamlaka ya Maji safi na salama Wilyani humo
Watumishi wa Mamlaka ya Maji safi na salama WIlayani Kongwa wakizunguza na Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe Deogratius Ndejembi

Na Mathias Canal, Dodoma

Kushindwa kusimamia miundombinu ya maji na kupelekea kuwa na ugumu wa upatikanaji maji kwa kiwango kinachotakiwa ni miongoni mwa kadhia zilizopingwa wakati wa kampeni na Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ambaye ndiye Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na kuahidi kuchagua wasaidizi watakaosimamia na kulimaliza jambo hilo mara baada ya kuingia madarakani.

Kwa kiasi kikubwa nchini Tanzania kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wananchi wakitupa
lawama kwa baadhi ya watendaji wa serikali ambao wamesababisha kudorora kwa uchumi na kuchagiza ugumu wa maisha kutokana na umbali wanaotumia kutafuta maji, huduma za afya sambamba na umbali wa shule za Sekondari na Msingi.

Kutokana na kadhia ya upatikanaji hafifu wa maji safi na salama Wilayani Kongwa imepelekea kukalia kuti kavu kwa Meneja wa Mamlaka ya Maji safi na Salama Wilayani humo Ndg Kisha Bonga kutokana na kushindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo ikiwemo kusababisha wafanyakazi wa Mamlaka ya maji kufikia maamuzi ya kuandamana.

Maandamano ya Wafanyakazi hao yalifanyika siku ya Ijumaa ya wiki iliyopita yaliyoanzia Ofisi za Mamlaka ya Maji safi hadi ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kongwa wakiwa wamegoma kufanya kazi kutokana na kuchelewa kulipwa mishahara yao.

LHRC WASHEREHEKEA MIAKA 21 NA WATOTO WANAOISHI MAKAO YA TAIFA YA WATOTO WENYE SHIDA KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM

Wafanyakazi wa LHRC wakijumuika na watoto wanaolelewa katika Makao ya taifa ya watoto wenye shida Kurasini jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya kusherehekea miaka 21 tangu kuanzishwa kwake.
Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC Dk. Helen Kijo-Bisimba (katikati) akiwasaidia watoto kukata keki kusheherekea miaka 21 ya LHRC.
Ofisa Mfawidhi wa Makao ya Taifa ya Watoto wenye shida Kurasini, Beatrice Lawrance, akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya maadhimisho hayo.

No comments :

Post a Comment