Thursday, August 25, 2016

ZIARA YA MAJALIWA MKOANI RUKWA


MTU MWENYE SILAHA AVAMIA HOSPITALI NA KUMUUA MGONJWA WODINI

Wagonjwa na wauguzi wa hospitali ya Mwingi nchini Kenya wameshtushwa baada ya mtu mwenye silaha kuingia wodini na kumuua kwa kumpiga risasi mgonjwa aliyelazwa.

Mashuhuda wa tukio hilo wamesema mtu huyo mwenye silaha alikimbia baada ya kumfyatulia risasi 17 mgonjwa huyo huku wagonjwa wengine wakikimbia na kujificha chini ya vitanda vyao.

Mgonjwa aliyeuwawa ametambulika kuwa ni Ngandi Malia Musyemi, 27, aliyelazwa hospitali hiyo matibabu ya majeraha ya risasi baada ya tukio la kutekwa gari.

No comments :

Post a Comment