WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI TICAD VI KENYA
Mwenyekiti
wa Chama cha United Democratic Party (UDP) John Momose Cheyo
akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu hali ya
kisiasa nchini katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya
Habari – Maelezo leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari – Maelezo Tiganya Vicent.
Mwenyekiti
wa Chama cha United Democratic Party (UDP) John Momose Cheyo
akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu hali ya
kisiasa nchini katika mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya
Habari – Maelezo leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari – Maelezo Tiganya Vicent na Kaimu Katibu
Mkuu wa Chama hicho Goodlucky Ole Medeye.
No comments :
Post a Comment