Mkurugenzi
wa Shirika la Misaada la Maendeleo la Marekani, USAID, Bi. Sharon
Cromer, na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt. Servacius
Likwelile, wakitia saini Hati ya makubaliano ya msaada wa Zaidi ya
shilingi Bilioni 895, kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya
maendeleo hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia
mwaka wa fedha 2016/2020, Jijini Dar es salaam
Mkurugenzi
wa Shirika la Misaada la Maendeleo la Marekani, USAID, Bi. Sharon
Cromer (Kushoto), na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt.
Servacius Likwelile, wakibadilishana Hati za makubaliano ya msaada wa
Zaidi ya shilingi Bilioni 895, kwaajili ya utekelezaji wa miradi
mbalimbali ya maendeleo hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano
ijayo kuanzia mwaka wa fedha 2016/2020, Jijini Dar es salaam
Mkurugenzi
wa Shirika la Misaada la Maendeleo la Marekani, USAID, Bi. Sharon
Cromer (Kushoto), na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt.
Servacius Likwelile, wakiwa wameshika Hati za makubaliano baada ya
kukamilika kwa tukio la utiwaji saini makubaliano ya msaada wa Zaidi ya
shilingi Bilioni 895, kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya
maendeleo hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia
mwaka wa fedha 2016/2020, Jijini Dar es salaam
Kaimu
Kamishna wa Fedha za Nje, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mamelta
Mutagwaba, wakiteta jambo na Mkurugenzi wa Shirika la Misaada la
Maendeleo la Marekani, USAID, Bi. Sharon Cromer (Katikati), baada ya
kukamilika kwa tukio la utiwaji saini makubaliano ya msaada wa zaidi ya
shilingi Bilioni 895, kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya
maendeleo hapa nchini katika kipindi cha miaka mitano ijayo kuanzia
mwaka wa fedha 2016/2020, Jijini Dar es salaam.
WAUMINI WA KKKT MTAA WA KULASI WILAYANI KOROGWE WAJENGEWA KANISA JIPYA.
Muonekano
wa Jengo la Kanisa lililokuwa likitumiwa na Waumini wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa
Kulasi wilayani Korogwe .
Muonekano
wa Jengo jipya la Kanisa linalotumiwa na Waumini wa Kanisa la Kiinjili
la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki mtaa wa Kulasi
wilayani Korogwe .
Askofu
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya
Kaskazini Mashariki Dkt Stephen Munga akikata utepe kufungua rasmi jengo
jipya la kanisa la mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe.
Waumini
wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini
Mashariki mtaa wa Kulasi wilayani Korogwe wakiandamana wakati wa sherehe
ya ufunguzi wa jengo jipya la kanisa lililojengwa na wazawa wa kijiji
hicho waishio maeneo mbalimbali nchini.
EDIN DZEKO NA MOHAMED SALAH WAIZAMISHA LIVERPOOL
SHIRIKA LA HIFADHI ZA TAIFA(TANAPA) LAKABIDHI JENGO LA BWALO LA CHAKULA KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MWIKA.
Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa
Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi wakitia saini hati ya
makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya
Mwika jana wilayani Moshi,Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa
kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za
wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 186,494,890 zimetumika.
Baadhi
ya Wanafunzi katika shule ya sekondari ya Mwika wakiwa katika hafla
fupi ya makabidhiano ya jengo la Bwalo kwa ajili ya Chakula.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Allan Kijazi akimkabidhi
hati ,Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiq baada ya saini hati ya
makabidhiano ya jengo la Bwalo la chakula katika shule ya sekondari ya
Mwika jana wilayani Moshi,Jengo hilo limejengwa kwa ufadhili wa Tanapa
kwa kushirkiana na Halmashauri ya wilaya ya Moshi pamoja na nguvu za
wananchi ambapo jumla ya kiasi cha Sh Mil 186,494,890 zimetumika.
SAFARI YA MWISHO YA MZEE JOSEPH SENGA
NAIBU WAZIRI OFISI YA RAIS TAMISEMI AZINDUA KISIMA KILICHOCHIMBWA NA TAASISI YA KIDINI JIJINI ARUSHA
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo akizungumza kwenye mkutano wahadhara kwenye soko maarufu la Kwamrombo kabla ya kuzindua kisima cha maji kwaajili ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha . |
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo akizindua kisima cha maji kwenye soko maarufu la Kwamrombo kwaajli ya matumizi ya wafanyabiashara wa soko hilo kilichochimbwa na taasisi ya kidini ya Ansaar MuslimYouth Centre tawi la Arusha . |
Wananchi wakifurahia hotuba ya Naibu Waziri Jaffo ambaye alitumia mkutano huo kumwagiza Meneja wa Tanesco kuwaunganishia umeme mapema inavyowezekana. |
Wananchi wakifurahia hotuba ya Naibu Waziri Jaffo ambaye alitumia mkutano huo kumwagiza Meneja wa Tanesco kuwaunganishia umeme mapema inavyowezekana. |
Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha,Calist Lazaro(kushoto) akimweleza jambo Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi)Suleiman Jaffo eneo la Olmoti kilipo kisima cha maji kinachowahudumia wananchi wa Kata ya Olmoti na Olasiti pia maji hayo yatatumika kwenye mahakama ya kimataifa ya MICT,kutoka kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira,Mhandisi Ruth Koya,Mkurugenzi wa Jiji la Arusha,Athumani Kihamia na Mkuu wa wilaya ya Arusha,Mrisho Gambo(katikati). |
No comments :
Post a Comment