FLORENCE MUGARULA
THE Prime Minister, Mr Kassim Majaliwa, said yesterday that the government has opened doors for both local and foreign investors to share experience and boost investments in the country.
The Premier was speaking during the
launching of the Tanzania- India Business Forum, which aimed at
promoting partnerships to accelerate investment and trade between the
two countries.
He said Tanzania invites investors in
plantations and food processing industries. The forum brought together
50 big investors from India and Tanzanian businessmen. The Indian
investors arrived in the country on Saturday with Prime Minister Modi.
“We have opened doors for both local and
international investors. Indian investors are warmly invited to invest
in various areas in the country,” he said. He mentioned some potential
areas for investment as industries, infrastructure, tourism, mining and
agriculture.
According to Mr Majaliwa, promotion of
industries will boost agriculture production in the country since
Tanzanian farmers will be able to enjoy reliable market for agriculture
products.
“It is obvious that the revival and
growth of industries will promote agriculture and boost economic growth
for both the government and farmers,” said Mr Majaliwa. He assured his
audience that the Tanzania Investment Centre (TIC) was so far performing
well in its role as a one-stop-centre for investors.
“Officials from the Ministry for
Industry and Trade, Business Registration and Licensing Agency (BRELA)
and Tanzania Revenue Authority (TRA) are all available at TIC’s head
offices. They are stationed there to offer quick services to both local
and international investors”, he stated.
The Minister for Industry, Trade and
Industries, Mr Charles Mwijage, said the government was doing everything
in its power to learn from successful countries, mentioning India and
Vietnam as among successful countries that could help Tanzania to
prosper.
He noted that India has managed to boost
its economy by establishing small industries, which increased
manufacturing of various products.“India has developed its economy
through small industries. They are now exporting various products
because of small industries.
Tanzania is keen to learn from India and
other countries in this,” he said. According to Mr Mwijage, India has a
total of 51 million industries, adding that small-scale industries in
India contribute 38 per cent of GDP to the Indian economy, noting that
Tanzania has so far got at least 40,000 industries.
“The small-scale industry is a key to India’s growth and alleviation of poverty and unemployment in the country.
Tanzania is also focusing on improving
its economy by promoting small-scale industries,” noted Mr Mwijage. He
noted further that 45 per cent of Indian exported products are produced
from small-scale industries.
Mr Mwijage said Indian investors had
expressed their readiness to generate electricity in various areas of
the country without connecting them to the national grid with the
purpose of serving the people who live in remote areas.“The Indians are
ready to generate power in remote areas such as islands in Indian Ocean
and Lakes. These are areas that are not connected to the national grid,”
added Mr Mwijage.
The Managing Director of Tanzania
Building Works Limited (TBWL), Mr Mohd Noray, said Tanzania was among
peaceful African countries, calling on foreign investors to feel
comfortable and safe to establish investment projects in the country.
Kagera Sugar Limited Managing Director Seif Ali Seif said the opening of
doors for both local and foreign investors will boost local production
and increase employment to Tanzanians.
“We are supporting the government’s
initiative to revive industries and invite investors to establish new
industries, this will cut down the importation of products and
exportation of raw materials,” he said.
The President of the Federation of
Indian Chambers of Commerce and Industries (FICCI), Mr Harshavardhan
Neotia, noted that trade between Tanzania and India was on the right
track, urging traders from both countries to utilise the available
opportunities.
Tanzania is now a preferred destination
for foreign investment in Africa and is by far the top destination for
investors in the East African Community (EAC) region. According to World
Investment Report 2015, Tanzania leads the EAC region in investment
inflows after receiving foreign direct investments worth 2.146 billion
US dollars in 2014.
It was trailed by Uganda, which
registered investments worth 1.147bn US dollars and Kenya, which
received 989 million US dollars in foreign direct investments.
According to the World Investment Report
2014, Tanzania recorded the highest Foreign Direct Investments (FDI),
in 2013 within the East African Community (EAC). Tanzania’s inflows
stood at 1.872bn US dollars followed by Uganda at 1.146 billion US
dollars and Ethiopia at 953 million US dollars
Waziri
Mkuu Modi, Narendra Modi, akiwa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli, akisalimiana
na wananchi waliojitokeza Ikulu kumpokea, Julai 10, 2016
Waziri
Mkuu Modi, akiwa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli, akisalimiana
na wananchi waliojitokeza Ikulu kumpokea, Julai 10, 2016
Rais Magufuli na Mweneyeji wake, Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wakisikiliza wimbo wa mataifa ya Tanzania na India
Waziri wa Mamboya Ndaniya Nchi, Mwigulu
Nchemba, akizungumza na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es
Salaam, Simon Siro, Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati wa dhifa ya
kitaifa
Kaimu Mkurugenzi wa Kurugenzi ya
Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa, akitoautaratibuwa kusaini mikataba
mbalimbali baina ya serikali ya Tanzania na India, Ikulu jijini Dar es
Salaam
Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais na Makamu wake, wakibadilishanamawazo
Rais Magufuli, Makamu wa Rais, Mama
Samia Suluhu Hassan, kaimu Mkuu wa Itifaki, James Mbawana, (kushoto),
wakimsikiliza Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. John Kijazi muda mfupi
baada ya kumuaga Waziri Mkuu wa India Modi.
Rais akimsikiliza Kaimu Kaimu Mkuu wa Itifaki James Mbwana, wakati akimsubiri mgeni wake Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi Ikulu jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi,
(kushoto), akizungumza jambo na Rais John Pombe Magufuli, wakati wa
chakula cha mchana Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jumapili Julai 10,
2016. Waziri Mkuu Modi pamoja na mambo mengine ameahidi kuipatia
Tanzania kiasi cha dola za Kimarekani Milioni 500 ili kusaidia miradi
yenye kipaumbelea. Waziri Mluu huyo aliwasili nchini Jumamosi usiku na
amemaliza ziara yake ya siku mbili na tayari yuko Nairobi nchini Kenya
kuendelea na ziara ya kutembelea bara la Afrika. (Picha na K-VIS
MEDIA/Khalfan Said)
Waziri Mkuu Modi, akiwa na mwenyeji wake
Rais John Pombe Magufuli, akisalimiana na wananchi waliojitokeza Ikulu
kumpokea, Julai 10, 2016
Rais John Pombe Magufuli, akitoa hotuba
yake mbele ya mgeni wake Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi Ikulu
jijini Dar es Salaam, Julai 10, 2016.
Waziri Mkuu Modi, akisalimiana na
Mfanyabiashara kijana, Mohammed Dewji MO, wakati wa chakula cha mchana
alichoandaa Rais Magufuli Ikulu jijini Dar es Salaam, Julai 10, 2016
Waziri Mkuu Modi, akiwa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli, wakiungana na brass band ya jeshi la Polisi
Waziri Mkuu Modi, akiwa na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli, wakiungana na brass band ya jeshi la Polisi
Waziri Mkuu Modi, akisalimiana na waziri Mkuu mstaafu, Joseph Sinde Warioba
Mkuu wa kikosi cha jeshi la zimamoto na
uokoaji, Thibias Andengenye, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa PPF,
William Erio, wakati wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha mchana
alichoandaa Rais John Magufuli kwa ajili ya mgeni wake Waziri Mkuu wa
India, Narendra Modi, Ikulu jijini Dar es Salaam
Mbunge wa Muheza, Balozi Adadi Rajabu,
(kushoto), akizungumza jambo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es
Salaam, Mzee Madabida Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 10, 2016 wakati
wa dhifa hiyo
Mkurugenzi wa Superdoll, Ali Seif,
(kulia), akizungumza jambo na mmoja wa wafanyabiashara wa India, wakati
wa dhifa ya kitaifa ya chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais John
Pombe Magufuli kwa ajili ya mgeni wake, Waziri Mkuu wa India, Narendra
Modi, Ikulu jijini Dar es Salaam, Julai 10, 2016
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Bandari Tanzania, (TPA), Injinia Deusdedit
Kakoko, (kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William
Erio, (katikati) na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala
Bora, Bahame Tom Nyanduga, wakiwa kwenye hafla hiyo
Waziri Mkuu Modi, na mwenyeji wake Rais
John Pombe Magufuli, wakipiga ngoma kuonyesha utamaduni ya Kitanzania
wakati wa mapokezi yake Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 10, 2016
Waziri Mkuu Modi, akizungumza kwenye
mkutano wa pamoja na waandishi wa habari akiwa na mwenyeji wake Rais
John Pombe Magufuli, (hayupo pichani) Ikulu jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Modi, akikagua gwaride la heshima la kikosi cha JWTZ viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Modi, akipiga picha ya
pamoja na mwenyeji wake Rais John Pombe Magufuli wakati wa mazungumzo
mafupi Ikulu jijini Dar es Salaam, Julai 10, 2016
Waziri Mkuu Modi, na mwenyeji wake Rais John Pombe
Magufuli, wakipiga ngoma kuonyesha utamaduni ya Kitanzania wakati wa
mapokezi yake Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 10, 2016
Waziri Mkuu Modi, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 10, 2016
Rais Dkt. John Pombe Magufuli,
akimtambulisha Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Dkt. Reginald Mengi, kwa
Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi, wakati wa dhifa ya kitaifa ya
chakula cha mchana kilichoandaliwa na Dkt. Magufuli kwa ajili ya mgeni
wake Ikulu jijini Dar es Salaam Julai 10, 2016
Waziri Mkuu Modi, akisalimiana na wananchi viwanja vya Ikulu wakati akiwasili
Rais Magufuli akimpokea mgeni wake Waziri Mkuu wa India, Narendra Modi alipowasili Ikulu jijini Dar es Salaam, Julai 10, 2016
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Mhe. Nape Nnauye akiimba huku akipiga gitaa mara baada ya kuzindua Fursa ya
Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania. Julai 11, 2016 Jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akizindua Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British
Council Tanzania, Julai 11, 2016. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo
ya Sanaa, Bi. Leah Kihimbi, wa pili kulia ni Mkuu wa Masuala ya Sanaa
Kenya na Afrika Mashariki toka British Council, Bi. Rocca Gutteridge na wa pili
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi British Council Tanzania, Bi. Nesia Mahenge.
NA BENEDICT LIWENGA-WHUSM.
WASANII nchini wametakiwa kuchangamkia fursa ya kazi za sanaa
ambayo inadhaminiwa na British Council Tanzania.
Wito huo umetolewa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye wakati wa Uzinduzi wa Fursa ya
Sanaa kwa Tanzania na Afrika Mashariki ambayo Mdhamini wake ni British Council
Tanzania.
Mhe. Nnauye amesema kuwa, uzinduzi wa fursa hiyo utawasaidia
wasanii nchini, Mashirika mbalimbali yakiwemo Makampuni ya ndani ya Tanzania
pamoja na Afrika Mashariki pamoja na Uingereza.
Amesema kuwa, fursa hiyo ni kubwa kwa wasanii nchini na kwa Taifa
kwa ujumla, hivyo ameipongeza British Council Tanzania kwa kuja na wazo hilo
zuri kwa manufaa ya wasanii nchini.
‘’Napenda nichukue nafasi hii kuwapongeza British Council Tanzania
kwa kuwashirikisha wasanii na Makampuni mbalimbali na kuhakikisha kuwa fursa
hizi zinamfikia kila msanii ndani ya Tanzania na kuwawezesha kushirikiana
pamoja kwenye Sekta ya Sanaa na Utamaduni ndani ya Afrika Mashariki na
Uingereza kwa ujumla’’, alisema, Mhe. Nnauye.
Ameongeza kuwa Serikali kupitia Wizara yake imekuwa ikishirikiana
na wadau mbalimbali ndani na nje ya Tanzania katika kuwawezesha wasanii katika
kukuza vipaji vyao na
kupata fursa zinazowawezesha kuitangaza nchi yao.
‘’Serikali inatambua changamoto zinazowakabili wasanii wetu na
imejikita katika kuhakikisha kuwa inatoa fursa zilizopo kwa wasanii wetu’’.
Mhe. Nnauye amesema kuwa, Serikali itaendelea kuwa mstari wa mbele
kuhakikisha kwamba inazidi kushirikiana na British Council Tanzania na wadau
mbalimbali ili kukuza vipaji vya wasanii hao.
Kwa upande wake Mkuu wa Masuala ya Sanaa Kenya na Afrika Mashariki
toka British Council, Bi. Rocca Gutteridge amesema kwamba, fursa inayodhaminiwa
na British Council inalenga kuwawezesha Wasanii wa Tanzania na Afrika Mashariki
kwa ujumla kuwa karibu kwa kushirikiana katika vipaji vyao na hivyo wameanzisha
na platfomu maalum ambayo wasanii hao watakuwa wakisaidiana katika kazi zao.
Naye Kaimu Mkurugenzi British Council Tanzania, Bi. Nesia Mahenge
amesema kuwa katika kuanzishwa wa fursa hiyo, kutakuwa na Miradi kati ya mitatu
hadi tano ambayo itachaguliwa katika mwaka wa 2016/17 ambapo kila mradi
utapewa fedha kiasi cha Euro elfu 20.
Ameongeza kuwa, British
Council inalenga kusaidia zaidi ya wasanii 60 wa Afrika Mashariki ambapo
wataweza kusafiri ndani ya Afrika Mashariki kwa kipindi cha miezi tisa ijayo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiangalia bango lenye ujumbe kuhusu fursa ya
sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016. Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Sanaa, Bi. Leah Kihimbi, wa pili kulia ni Mkuu
wa Masuala ya Sanaa Kenya na Afrika Mashariki toka British Council, Bi. Rocca
Gutteridge na wa pili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi British Council
Tanzania, Bi. Nesia Mahenge.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Mhe. Nape Nnauye akiwaonyesha Wageni waalikwa pamoja na Waandishi wa Habari
(hawapo pichani) picha aliyochorwa na mmoja wa Wasanii mara baada ya kuzindua
Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016
Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi British Council Tanzania,
Bi. Nesia Mahenge.
NA ARON MSIGWA - MAELEZO
Serikali imewataka Wakuu wa vyuo
vya Maendeleo ya Jamii nchini kufanya kazi kwa kuzingatia weledi , kanuni,
miongozo na taratibu zinazosimamia uendeshaji wa vyuo hivyo ili kuiwezesha sekta hiyo kupiga hatua
kwa kuzalisha wataalam wenye sifa wanaokidhi matarajio ya wananchi.
Kauli hiyo imetolewa leo mjini
Dodoma na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Afya, Maendeleo
ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw.Erasimus Rugarabamu wakati akifungua kikao
kazi cha wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya Jamii kwa niaba ya Katibu Mkuu wa
Wizara hiyo Bi.Sihaba Nkinga.
NYOTA YA WAPANCRASS KUTOKA KANDA YA ZIWA YAZIDI KUNG'ARA
Baada ya wimbo wao uitwao Chausiku
kufanya vizuri sokoni, Wasanii Payus (kushoto) na Mecrass (kulia) kutoka
Jijini Mwanza ambao wanaunda kundi la Wapancrass, nyota yao imezidi
kung'ara zaidi katika muziki.
Wasanii hao wamesema kwamba idadi ya
wasanii wengine wanaoomba kufanya nao kazi imeongezeka tangu waachie
wimbo wao wa Chausiku na kwamba hiyo ni ishara nzuri kuwa walichokifanya
katika wimbo huo kimepokelewa vizuri.
"Baada ya kuombwa "collabo" na wasanii
tofauti tofauti, tumeamua kuitikia wito. Kabla ya kuachia wimbo wetu
mwaka huu, tutasikika katika wimbo ambao tumeshirikishwa na msanii Dumuz
ambae pia anaiwakilisha vyema Kanda ya Ziwa". Amesema Mecrass na
kuongeza kuwa wimbo huo ambao unafahamika kwa jina la "Umeniacha Mtupu"
unatarajiwa kuingia sokoni Julai 25 mwaka huu.
Cover ya wimbo huo ambao unatarajiwa kutoka rasmi Julai 25 mwaka huu.
NA K-VIS MEDIA NA
MASHIRIKA YA HABARI
WACHEZAJI wa Ureno, walimzunguka
Cristiano Ronaldo, pale alipokaa uwanjani, lakini machozi ya nahodha wao huyo
akiugulia maumivu ya goti, yaliongeza ari ya wachezaji hao mchezoni.
Ureno imetwaa kombe la kwanza kubwa
Jumapili Julai 10, 2016 baada ya kuinyuka Ufaransa ambao walikuwa wenyeji wa
michuano ya mwaka huu 2016, kwa bao 1-0 katika muda wa ziada, ushindi huu ukija
bila ya nhodha wa Ureno Cristiano Ronaldo, aliyelazimika kwenye nje dakika ya
25 ya mchezo kufuatia majeraha ya goti.
Masaa
mawili baada ya kuwa ametolew nje huku akiwa amebebwa kwenye machela, mchezaji
huyo bora wa Dunia kwa mara tatu, amerejea na ubingwa wan chi yake.
“Nilikuwa na bahati, nilipata jeraha
kidogo mwanzoni mwa mchezo, lakini wenzangu walitimiza wajibu wao, walikimbia,
walipambana.” Alisema Ronaldo ambaye tayari alikwisha shinda mataji mbalimbali
makubwa akiwa na klabu yake Real Madrid. “Hakuna aliyeamini Ureno kuwa
itashinda, lakini tumeshinda.” Alisema Ronaldo
Katika dakika ya 109, Eder, alivunja
mioyo ya Wafaransa, baada ya kufumua shuti umbali wa mita 25 na kumshinda
mlinda mlango wa Ufaransa, Hugo Lloris.
"Cristiano
aliniambia nitafunga goli la ushindi. “Alisema Eder.
Kwa ushindi huo, Ureno imeinyima ushindi
Ufaransa kwa mara ya tatu sasa kwenye michuano hiyo ya Euro, 1984, 1998, na
2016.
Mchezaji hatari wa Ufaransa Antoine Griezmann akishika kichwa kuonyesha masikitiko baada ya kufungwa bao hilo
Cristiano Ronaldo, nahodha wa Ureno, akiungana na nwenzake kushangilia kombe walilotwaa
Wachezaji wa Ureno wakimkimbiza kwa furaha "mfalme" wao Eder, baada ya umalizika kwa pambano hilo
Eder akijikunjua kufunga bao hilo pekee la Ureno
Cristiano Ronaldo, nahodha wa Ureno, akiungana na nwenzake kushangilia kombe walilotwaa
No comments :
Post a Comment