Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini
katika Kitabu maalum cha Kampuni ya Jiangsu Jiangdu construction group
inayojenga Maktaba Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam UD mara baada ya
kuwasili chuoni hapo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa
pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi wa China
hapa nchini lu you Qing, maafisa wa kampuni ya Kutoka China ya Jiangsu
Jiangdu wakiweka mchanga kama ishara ya kuweka jiwe la msingi katika
Maktaba Mpya ya Chuo kikuu cha Dar es Salaam UD mara baada ya kuwasili
chuoni hapo. Maktaba hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi
ya 2000 kwa wakati mmoja.

katika picha ya pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt.
Jakaya Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi
wa China hapa nchini lu you Qing, Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde
Warioba na makamu wa Rais katika serikali ya awamu ya nne Mohamed Gharib
Bilal, Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako na Spika Mstaafu Pius
Msekwa mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maktaba hiyo ya
kisasa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Balozi wa China hapa nchini lu youQing kabla ya kwenda
kuzungumza na jamii ya wanachuo kikuu cha Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
jambo na Balozi wa China hapa nchini lu youQing kabla ya kwenda
kuzungumza na jamii ya wanachuo kikuu cha Dar es Salaam.
Makamu
Mkuu wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam Profesa Rwekaza Mukandala akitoa
maelezo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kuhusu ujenzi wa Maktaba hiyo ya kisasa itakayochukua
wanafunzi zaidi ya 2000 kwa wakati mmoja. Wengine katika picha ni Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Wziri wa
Elimu Profesa Joyce Ndalichako

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipita
kwenye mabango ya picha za mfano wa majengo ya Maktaba mpya
itakayojengwa katika Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia mamia ya jamii ya wanachuo na wananchi mara baada ya
kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maktaba mpya itakayochukua zaidi ya
wanafunzi 2000 kwa wakati mmoja.
Mkuu
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
machapisho ya tafiti mbalimbali za madini na mambo mbalimbali ya
kimaendeleo zilizofanywa na wahadhiri wa chuo hicho mara baada ya
kuwahutubia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha
machapisho hayo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akionesha machapisho hayo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana
na baadhi ya Wanafunzi pamoja na wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana
na Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba mara baada ya kumaliza
mkutano huo katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Mlimani jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment