Wednesday, May 4, 2016

Tigo 4G LTE yaingia kwenye miji 5 kanda ya ziwa


Meneja Mkuu wa Tigo Diego Gutierrez akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mpango wa Tigo kusambaza mtandao wa 4G lte nchi nzima pembeni yake ni Afisa Mkuu wa Ufundi wa teknolojia ya mawasiliano wa Tigo Jerome Albou katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema leo katika ofisi za makao makuu ya Tigo Kijitonyama Jijini Dar es salaam.
Waandishi wa habari wakichukua taaarifa
Kampuni ya simu ya Tigo ambayo
inaendesha maisha ya kidijitali Tanzania imetangaza kuzinduliwa kwa  huduma ya 4G LTE katika miji mingine mitano ya
kanda ya ambayo  ni Tabora, Musoma, Bukoba, Kigoma na Shinyanga
 Kampuni hiyo awali ilizindua  huduma hiyo  jijini Dar es Salaam  mwanzoni mwa mwaka jana  na baadaye kuisambaza katika miji ya Arusha, Tanga, Dodoma, Morogoro,
Moshi na Mwanza na hivyo kuifanya  kuwa
YOMBO VYA HABARI ASILIA (wa makaratasini) TAABAN WAKATI VYA digitali (wa mitandaoni) VYAPETA
ddd 
Vyombo vya habari vya asilia, hususan magazeti,  vinakufa. Hivi sasa vvyombo hivyo vinajikongoja kutokana na  mauzo hafifu  na mdororo wa mapato kutoka matangazo na kupunguza wafanyakazi. 
Ila wakati idadi ya wasomaji wa habari mtandaoni ikizidi kukua, wanaoperuzi mtandaoni  humo hawatumii muda mwingi kwenye magazeti tando, utafiti wa Pew Research Centre unaeleza. 
Katika utafiti wake wa hali ya vyombo vya habari 2015 (“State of the News Media 2015,”) imeonesha kwamba katika vyombo vya habari vya karatasi (print media), Digitali na TV, imeonesha Dhahiri kwamba magazeti yanaelekea kuzimu. 
Utafiti huo umetolea mfano magazeti makubwa ambapo wasomaji wake wa mtandaoni wamewashinda kwa mbali kwa idadi ya wasomaji wa makaratasini, ambapo gazeti kubwa sana la New York Times la Marekani limetangaza kuwa nakala zake zipatazo 650,000 kwa wiki zimepitwa kwa mbali sana na wa mitandaoni 

Waandishi Wawili Watwaa Tuzo ya Uandishi Wa Masuala ya Kodi na Ukusanyaji Mapato

tr1Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Bw. Richard Kayombo, kwa niaba ya Kamishna Mkuu wa TRA (Kushoto) akimkabidhi tuzo pamoja na cheti mshindi wa kwanza wa tuzo ya Uandishi wa habari za Kodi na Makusanyo ya Mapato ya Serikali kwa mwaka 2015 Bi.  Valeria Mwalongo katika sherehe za kutunuku waandishi bora wa mwaka  zilizofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam tarehe 29 Aprili 2016
tr2 
Mshindi wa pili wa tuzo ya Uandishi wa habari za Kodi na Makusanyo ya Mapato ya Serikali mwaka 2015 Bw. Nuru  Hassan (kulia) akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Bw. Richard Kayombo (kushoto) aliyemuwakilisha  Kamishna Mkuu wa TRA katika sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam tarehe 29 Aprili 2016

SERIKALI KUENDELEA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA KEMIKALI

mke1 
Mkuu wa Kitengo Cha Utafiti na Ubora wa Mifumo Bw. Benny Mallya kutoka Ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam  kuhusu utekelezaji wa sheria ya usimamizi na udhibiti wa kemikali sura 182 ili kuzuia athari zinazoweza kujitokeza kwa wasafirishaji na watumiaji wa kemikali hapa nchini. Kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari Maelezo Bw. Frank Mvungi na kulia ni Afisa Habari wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw. Sylvester Omari.
mke2 
Mkuu wa Kitengo Cha Utafiti na Ubora wa Mifumo Bw. Benny Mallya kutoka Ofisi ya Wakala wa Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam  kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali ikiwemo kutoa mafunzo kwa wasimamizi 61 wa shughuli za usafirishaji wa kemikali na madereva 123 hapa nchini. Kulia ni Afisa Habari wa Ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali Bw. Sylvester Omari.

Tiketi za Bahati Nasibu ya Taifa kuanza kuuzwa mwezi huu

vik1Mwenyekiti wa Gidani Group na Makamu wa Rais wa Shirikisho la Michezo ya kubahatisha katika kanda ya Afrika ya Kusini Profesa Bongani Aug Khumalo akielezea  jinsi michezo ya Bahati Nasibu itakavyoendeshwa kwa wananchi waliofika kwenye Banda la Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ambapo kampuni hiyo ilishiriki
vik2Mkurugenzi wa Bodi inayosimamia michezo ya Kubahatisha nchini,Bw, Abbas Tarimba akiwa na  Mwenyekiti wa Gidani Group ,Profesa Bongani Aug Khumalo

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA NISHATI NA MADINI DK. MHANDISI JU.LIANA PALLANGYO AKUTANA NA WATENDAJI KUTOKA TPDC

pal1Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dk. James Mataragio (mbele) akielezea mikakati ya shirika hilo katika matumizi ya  gesi asilia inayozalishwa kwa ajili ya matumizi ya majumbani na nyingine kuuzwa katika soko  la nje katika kikao kilichokutanisha Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati,  Dk. Mhandisi  Juliana Pallangyo  kilichofanyika  jijini Dar es Salaam. Lengo la kikao  hicho lilikuwa ni kujadili matumizi ya gesi iliyogunduliwa nchini katika matumizi  ya ndani na  nyingine kuuzwa nje ya nchi.
pal2 
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini anayeshughulikia masuala ya nishati, Dk. Mhandisi Juliana Pallangyo (pichani) akisisitiza jambo  katika kikao hicho.
pal3 
Wataalam kutoka Idara ya Nishati kutoka kushoto, Mussa Abbas na  Athur Lyatuu wakinukuu  hoja mbalimbali zilizokuwa zinajadiliwa katika kikao hicho.
pal4 
Wataalam kutoka Idara ya Nishati iliyopo chini ya Wizara ya Nishati na Madini wakifuatilia kwa makini mada mbalimbali zilizokuwa zinawasilishwa katika kikao hicho

Waziri Mwigulu atoa hoja ya kuidhinishiwa kwa bajeti ya 2016/2017 mbele ya mwalimu wake wa darasa la kwanza.

mw1 
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akitoa hoja kwa Bunge kuidhinisha makadirio na matumizi ya fedha ya wizara hiyo kwa mwaka 2016/2017 leo mjini Dodoma huku akishudiwa na mwalimu wake Maria Mnkumbo (hayupo pichani) aliyemfundisha darasa la kwanza na la pili katika shule ya msingi Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO, Dodoma)
mw4 
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na mwalimu wake Maria Mnkumbo (katikati) aliyemfundisha darasa la kwanza na la pili katika shule ya msingi Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida mara baada ya waziri huyo kutoa hoja ya Bunge kuidhinisha makadirio na matumizi ya fedha ya wizara yake kwa mwaka 2016/2017 leo mjini Dodoma.  Kushoto ni mke wa Waziri Mwigulu Neema.
mw2 
Mwalimu msataafu Maria Mnkumbo aliyemfundisha Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba darasa la kwanza na la pili katika shule ya msingi Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma.
mw3 
Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi Mwigulu Nchemba akiwa na mwalimu wake Maria Mnkumbo aliyemfundisha darasa la kwanza na la pili katika shule ya msingi Makunda iliyopo wilaya ya Iramba Mkoani Singida mara baada ya waziri huyo kutoa hoja ya Bunge kuidhinisha makadirio na matumizi ya fedha ya wizara yake kwa mwaka 2016/2017 leo mjini Dodoma.

Bodi ya Filamu yasitisha usambazaji wa “Imebuma”

fila 
Mhusika Mkuu katika filamu ya “Imebuma” Bw. Eliasa Mkaly (Rashidi kisoda) akimbembeleza muigizaji na mtayarishaji wa filamu hiyo  Bi Sarah  Nyika (Asha Mauno) mara baada ya Bodi ya Filamu Tanzania kusitizaji usambazaji wa filamu hiyo.
( Picha na Raymond Mushumbusi MAELEZO)
fi1 
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fisso akizungumza na waigizaji wa filamu ya “Imebuma” (Hawapo Pichani) wakati wa ukaguzi wa filamu hiyo kabla ya kupelekwa sokoni kulia ni 2 Afisa Utamaduni Bw. Julius Tairo.
fi2 
Afisa Utamaduni Bw. Julius Tairo (wa Pili Kushoto) akitoa maelekezo kwa waigizaji wa filamu ya “Imebuma” (Hawapo Pichani) wakati wa ukaguzi wa filamu hiyo kabla ya kupelekwa sokoni kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Joyce Fisso.
fi4 
Mhusika Mkuu katika filamu ya “Imebuma” Bw. Eliasa Mkaly (Rashidi kisoda) akitoa maelezo kuhusu filamu hiyo wakati wa ukaguzi wa filamu ya “Imebuma” kabla ya kupelekwa sokoni kulia ni waigizaji wa filamu hiyo.
( Picha zote na Shamimu Nyaki WHUSM)

TATIZO LA AJIRA LINAENDELEA KUWA CHANGAMOTO KWA VIJANA ZANZIBAR

                          Na Miza Kona Maelezo- Zanzibar                 7 (2)                     
Mkurugenzi wa Idara ya Ajira Ameir Ali Ameir amesema tatizo la ajira nchini bado ni changamoto kubwa kwa vijana kutokana vijana wengi kukosa sifa za  kuajiriwa na baadhi yao  kuchagua  kazi za kuajiriwa.

WIMBO “CHURA” WA SNURA MUSHI WAFUNGIWA, AFUNGIWA PIA KUFANYA MAONESHO

 snu2 
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bi. Zawadi Msalla (katikati) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapopichani) wakati akitoa tamko la Serikali kuhusu kusitishwa kwa wimbo wa Msanii Snura Mushi ujulikanao kwa jina la Chura kwa kukiuka maadili kushoto ni Mwanasheria wa wizara hiyo Bw. Patrick Kipangula na kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Utamaduni Bibi. Lily Beleko.
snu6Mwanasheria wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Patrick Kipangula akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapopichani) wakati wizara hiyo ikitoa tamko la kusitishwa kwa wimbo ujulikanao kwa jina la Chura ulioimbwa na msanii Snura Mushi kwa kukiuka maadili, kulia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini wa Wizara hiyo Bi. Zawadi Msalla.
snu1Baadhi ya waandishi wa habari wakimfuatilia kwa makini Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini toka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa naMichezo Bi. Zawadi Msalla (hayupopichani) wakatia kitoa tamko la Serikali kuhusu kusitishwa kwa wimbo wa Msanii Snura Mushi ujulikanao kwa jina la Chura kwa kukiuka maadili.

MHE. UMMY MWALIMU AELEZEA MIKAKATI YA SERIKALI KATIKA KUHAKIKISHA USAWA WA KIJINSIA KATIKA ELIMU

wm1 
Mke wa Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akisoma hotuba yake kwa wageni waalikwa na wahitimu wakati wa Sherehe za Mahafali ya kwanza ya Kidato cha Sita ya Shule ya WAMA- Nakayama.
wm2 
Kaimu Balozi wa Japan hapa nchini Bw. Hiroyuki KUBOTA akisoma hotuba yake wakati wa Sherehe za Mahafali
wm3 
Wahitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya WAMA -Nakayama  katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa WAMA mara baada ya kumkabidhi Cheti cha Shukrani  kwa mchango wake katika maendeleo ya elimu yao.
wm4 
Wahitimu wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari WAMA- Nakayama wakionyesha maonyesho ya masomo kwa Mgeni Rasmi, Mhe. Ummy Mwalimu, Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete pamoja na wageni waalikwa.
wm6Dr. Ramadhani Dau, Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama akitoa neno la ukaribisho kwa wageni waalikwa katika Sherehe za mahafali ya Kidato cha sita  shule ya sekondari WAMA Nakayama

NHIF yakabidhi kituo cha Uchunguzi na Matibabu Hospitali ya Rufaa Dodoma

images
Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umekabidhi kituo cha Uchunguzi na Matibabu kwa Hospitali ya Rufaa Dodoma kwa ajili ya kuwawezesha wananchi kupata huduma bora za matibabu

KUTANA NA ‘GREEN VOICES’, SAUTI ZA AKINAMAMA WAPAMBANAO NA MABADILIKO YA TABIANCHI

Akinamama wanaoshiriki katika mradi wa kupaza sauti za wanawake
wanaopambana na mabdiliko ya tabianchi – Green Vocies katika picha ya pamoja na
viongozi wa Foundation For Women of Africa na wafadhili wa mradi huo, mara
baada ya uzinduzi wa mradi huo Madrid, Spain hivi karibuni.
 Mama Maria Tereza (katikati) – Rais wa taasisi ya Foundation
for Women of Africa akiwa na waandishi wa habari wanaotekelza mradi wa Green
Voices wakati wa hafla ya kuwakaribisha kinamama nchini Spain. Kutoka kushoto ni Secelela Balisidya, Tukuswiga Mwaisumbe, Farida Hamis,
Siddy Mgumia na aliyechuchumaa Judica Losai.
Akinamama wanaoshiriki katika
mradi wa kupaza sauti za wanawake wanaopambana na mabdiliko ya tabianchi –
Green Vocies katika picha ya pamoja na uongozi wa chuo kikuu cha Universitad
Automous De Madrid, mara baada ya kutembelea mazingira ya chuo hicho Madrid,
Spain hivi karibuni.
Ziara ya mafunzo kujifunza
jinsi ya kutengeneza mbolea ya mboji.
Ziara ya mafunzo kujifunza
majiko yanayotumia nishati ya jua.
Ziara ya mafunzo katika chumba
cha habari cha gazeti la El Pais.
Akimama na wawezeshaji wa
mafunzo katika picha ya pamoja darasani.
 …………………………………………………………………………………………………………..
WANAWAKE wapatao 15 hivi karibuni walihudhuria mafunzo ya kuongeza ujuzi wa jinsi ya kupambana na mabadiliko ya tabianchi nchini Spain. Mafunzo na mradi huo vinafadhiliwa na Taasisi inayojihusisha na maendeleo ya wanawake wa Afrika, ijulikanayo kama Foundation for Women of Africa  inayoongozwa na Makamu wa Rais mstaafu waSpain Mama  María Teresa Fernández de laVega.

No comments :

Post a Comment