Friday, April 15, 2016

TAASISI YA BENJAMIN MKAPA YAFANYA HARAMBEE, YAKUSANYA BIL.1.17 Mohammed Dewji na Benjamin William Mkapa

Mohammed Dewji na Benjamin William Mkapa
Mwanzilishi wa Taasisi ya Mkapa (Mkapa Foundation), Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamin William Mkapa (kushoto), mgeni rasmi Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji (kulia) pamoja na Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Mkapa Foundation, Balozi Charles Sanga wakiwasili katika sherehe za miaka 10 ya Mkapa Foundation zilioambatana na harambe ya kutunisha mfuko wa taasisi hiyo zilizofanyika kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Tower.
(Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benjamin Mkapa Foundation, Dk. Ellen Senkoro
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benjamin Mkapa Foundation, Dk. Ellen Mkondya Senkoro akitoa historia fupi ya taasisi hiyo kwa wageni waalikwa katika hafla hiyo.
IMG_0700
Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini ya Mkapa Foundation, Balozi Charles Sanga akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kutoa neno katika sherehe za miaka 10 ya taasisi isiyo ya kiserikali ya Mkapa zilioenda sambamba na harambe ya kutunisha mfuko huo.
Vipul Kakad
Msaidizi mwandamizi katika utawala wa Kampuni ya MeTL Group, Shemane Amin pamoja na Makamu wa Rais wa Makampuni ya MeTL Group, Vipul Kakad wakiwa kwenye dakika moja ya ukimya kumkumbuka Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambapo ilikuwa ni siku yake ya kuzaliwa wakati wa sherehe za miaka 10 ya Mkapa Foundation zilizoenda sambamba na harambe ya kutunisha mfuko wa taasisi hiyo zilizofanyika April 13, 2016.
Mohammed Dewji
Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Makampuni ya Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL Group), Mohammed Dewji akizungumza kwenye sherehe za miaka 10 ya Mkapa Foundation zilizoenda sambamba na harambe ya kutunisha mfuko wa taasisi hiyo zilizofanyika April 13, 2016.
MBUNGE WA JIMBO LA MKURANGA MH.ULEGA APOKEA MRADI WA MAJI MKAMBA NA KUKABIDHI KWA WANANCHI
ul14
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdalah ulega akifungua bomba la maji huku  baadhi ya wananchi wakishuhudia katika kata ya Mkamba kijiji cha Tungi katika hafla fupi ya kukabidhi kisima cha Maji kilichochimbwa kwa ufadhiri wa Taasisi ya kimarekani ya African Reflections Foundatioan wiki hii,  katika picha mwenye kofia anayeshuhudia ni Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan na kushoto ni Diwani Kata ya Mkamba Bw.Dunga Hassan  (Picha zote na Raphael Malekela)
ul1
Mbunge wa Jimbo la Mkuranga Abdalah ulega akizungumza na baadhi ya wananchi wa kata ya Mkamba kijiji cha Tungi katia hafla fupi ya kukabidhi kisima cha Maji kilichochimbwa kwa ufadhiri wa Taasisi ya kimarekani ya African Reflectins Foundatioan, kulia ni Mama Caren kutoka Taasisi ya African Reflectins Foundatioan na kushoto ni Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi huo.
ul4
Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan akizungumza jambo huku Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega akifurahia wakati wa makabidhiano ya  mradi wa maji katika kijiji cha Tungi wilaya ya  Mkuranga.
ul8
Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan  na mama Caren kutoka taasisi hiyo pia wakikabidhi madawa ya majikwa mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega.
ul9
Mbunge wa mkutanga Mh. Abdallah Uleha na Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan wakiimba pamoja na akina mama wakati wa makabidhiano hayo.
ul10
Mbunge wa jimbo la Mkuranga akisalimiana na wanakikiji ambao ni wapiga kura wake wakati alipowasili katika kijiji cha Tungi Mkuranga.
ul11
Mbunge wa jimbo la Mkuranga akizungumza na akina mama wakati alipowasili kijijini hapo.
ul12
Akina mama mbalimbali wakiwa katika makabidhiano ya mradi huo.
ul13
Mama Caren kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan akizungumza katika makabidhiano hayo huku Mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Abdallah Ulega na kushoto na Mama Maryborne Pool Mtekelezaji wa mradi kutoka taaisi ya Marekani kutoka African Reflections Foundatioan

MKUU WA WILAYA IRINGA RICHARD KASESELA AFUNGUA WARSHA YA KUWAWEZESHA WANAFUNZI KUTUMIA KOMPYUTA

1
2 
Mkuu wa Wilaya Iringa Richard Kasesela akifungua Warsha  ya kuwawezesha wanafunzi kutumia kompyuta na wavuti (Bring Computer literacy to children in Tanzania).
 Mradi huo wa Global Out reach ulibuniwa na Bwana Mussle ambaye alitembelea Tanzania akimtembelea binti yake aliye kuja kijitlea Iringa (hawa ni raia wa marekani). Mradi huo unafadhiriwa na BENKI KUU YA TANZANIA, ROTARY  INTERNATIONAL, ROMAN CATHOLIC CHURCH IRINGA, ST THOMAS MORE PARISH KICHANGANI, SUNRISE ROTARY USA, BRADENTON ROTARY USA, ST STEPHENS, TTCL
3 
Mradi huo unashirkisha shule 12 Iringa (POMELINI, MAWELEWELE,LUGALO, IRINGA GIRLS, IFUNDA TECH, NYERERE HIGH SCH, BOMALANG’OMBE,IMAGE, MAFINGA, ST JOSEPH, ST MICHAEL na CAGLIERO). Kila shule imepata kompyuta na wamepewa mafunzo, pia wametoa vifaa kwa ajili ya kituo chenye maktaba kilichotolewa kwa hisani ya baba askofu wa Roman Catholic Iringa.
Mkuu wa wilaya aliwaasa waalimu wote wa shule za sekondari kuanza kufikiria uwezekano wa kuwa na maktaba ya kompyuta. baada ya zoezi la maabara kwisha na madawati kuptakina shule zote kitakacho fuatia ni kuhakikisha shule zote zinakuwa computarized. 54 
Picha ya pamoja

MSEMAJI WA CCM OLE SENDEKA AWASILI MOSHI

Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka akiwasili kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo chana
Msemaji wa CCM, Ole Sendeka akipokewa kwa ngoma maalum na kinamama wa Mjini Moshi alipowasili kuhutubia mkutanowa hadhara katika eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo
Msemaji wa CCM Ole Sendeka akisaini kitabu cha wageni baada ya kuwasili eneo la Bomambuzi, Pasua mjini Moshi leo. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Iddi Juma.
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Juma Raibu  ambaye ameshinda kesi ya Udiwani katika Kata ya Mbomambuzi, akisalimia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika Bomambuzi, Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro, wakati wa mkutnao wa hadhara wa Msemaji wa CCM, Ole Sendeka uliuofanyika katika eneo hilo la Bomambuzi leo.
Mwenyekiti wa CCM wa zamani wa mkoa wa Kilimanjaro Mercy Siro (katikati) akiwa kwenye mkutano huo wa hadhara
Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng’enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro
Mjumbe wa NEC na Ofisa Mwandamizi katika Idara ya Itikadi na Uenezi, Makao Makuu ya CCM, Kilumbe Ng’enda akizungumza kumsafishia njia Msemaji Mkuu wa CCM, Ole Sendeka katika mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika eneo la Bomambuzi, eneo la Pasua mjini Moshi mkoani Kilimanjaro

No comments :

Post a Comment