The government has stepped up the search for a new Kenya Airports
Authority (KAA) chief ...
executive two months after it annulled an initial recruitment process citing interference.
Kenya Airports Authority, (KAA) said on Monday in a notice that it is seeking a competent chief executive to drive its mandate. The right candidate should be holders of Bachelor’s degree from a recognized institution of higher learning, KAA said.
KAA has tasked advisory firm PricewaterhouseCoopers to steer the process.
On January 21, Transport Cabinet Secretary James Macharia cancelled the previous recruitment process citing interference.
Mr Macharia consequently directed that the process be initiated afresh with immediate effect by a “reputable and competent professional firm”.
The KAA board had taken up the process, following the KAA management’s alleged bungling of the procurement of a recruitment agency.
The board fired three of its senior officials — including managing director Lucy Mbugua, general manager for finance John Thumbi and acting airport engineer Christopher Warutere — on June 27 last year over allegations of improprieties in procuring airport buses.
Mbugua was also being probed for her alleged role in a controversial duty-free shops tender.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kwa Mamlaka aliyopewa amemteua Profesa MAYUNGA HABIBU NKUNYA kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) kuanzia Februari 17, 2016.
wa Bunge Mh. Job Ndugai kushoto ni Afisa habari wa Bunge Bw. Owen Mwandumbya
executive two months after it annulled an initial recruitment process citing interference.
Kenya Airports Authority, (KAA) said on Monday in a notice that it is seeking a competent chief executive to drive its mandate. The right candidate should be holders of Bachelor’s degree from a recognized institution of higher learning, KAA said.
KAA has tasked advisory firm PricewaterhouseCoopers to steer the process.
On January 21, Transport Cabinet Secretary James Macharia cancelled the previous recruitment process citing interference.
Mr Macharia consequently directed that the process be initiated afresh with immediate effect by a “reputable and competent professional firm”.
The KAA board had taken up the process, following the KAA management’s alleged bungling of the procurement of a recruitment agency.
The board fired three of its senior officials — including managing director Lucy Mbugua, general manager for finance John Thumbi and acting airport engineer Christopher Warutere — on June 27 last year over allegations of improprieties in procuring airport buses.
Mbugua was also being probed for her alleged role in a controversial duty-free shops tender.
Profesa MAYUNGA HABIBU NKUNYA ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC)
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa kwa Mamlaka aliyopewa amemteua Profesa MAYUNGA HABIBU NKUNYA kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) kuanzia Februari 17, 2016.
Uteuzi huo ni wa miaka mitatu kuanzia tarehe 17 Februari, 2016 hadi 16 Februari, 2019.
Kabla ya uteuzi huo Profesa
Nkunya alikuwa ni Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Programu ya Mapitio ya
Mfumo wa Taifa wa Ubunifu (National Innovation System Review Programme).
Uteuzi huo unafuatia kumalizika kwa muda wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi hiyo.
Taarifa hii imetolewa na,
Eng. Joseph M. Nyamhanga
KATIBU MKUU (UJENZI),
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano,
01 Machi, 2016
TAARIFA KWA UMMA KUTOKA IDARA YA HABARI MAELEZO
Gazeti la Dira ya Mtanzania,
Toleo Na.404 la Februari, 29 – Machi 6, 2016 liliandika taarifa yenye
kichwa cha habari kisemacho “Uchafu wa Ombeni Sefue Ikulu”. Taarifa
hiyo, ambayo ni muendelezo wa makala nyingine kwenye toleo la gazeti
hilo la wiki iliyopita, ilimtuhumu Katibu Mkuu Kiongozi kushawishi juu
ya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa MSD pamoja na Kampuni za “CRJE” na “UGG”
kupewa tenda ya kujenga Chuo Kikuu cha Dodoma, Daraja la Kigamboni na
Reli ya Dar es Salaam – Kigali. Taarifa zote hizi ni za uongo na za
kupotosha wananchi.
Kuhusu uteuzi wa nafasi ya Mkurugenzi Mkuu wa MSD,
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi
Ombeni Sefue, hakuhusika kwa namna yoyote kushawishi uteuzi wa
Mkurugenzi Mkuu wa MSD. Uteuzi huo ulitekelezwa kwa kufuata kanuni na
taratibu zilizowekwa. Nafasi hiyo ilitangazwa na Bodi tarehe 20 Novemba,
2013. Usaili ulifanywa na kampuni huru iliyopewa jukumu hilo na Bodi.
Mapendekezo ya majina matatu yalipelekwa kwa Mhe. Rais na Waziri wa
Afya, kwa ajili ya uteuzi. Balozi Sefue alikuwa hamjui aliyeteuliwa na
wala hakuwahi kuwa na uhusiano naye. Alichofanya Balozi Sefue ni
kutangaza tu uteuzi baada ya Rais kuteua. Gazeti hilo pia limeandika
uwongo kuwa MSD haijawahi kuongozwa na Mkurugenzi Mkuu asiye Mfamasia.
Tangu MSD ianzishwe mwaka 1993 hadi sasa, ni Mkurugenzi Mkuu mmoja tu,
Rino Meyers (1996-1999), ndiye alikuwa Mfamasia. Wakurugenzi wengine
kama Peter Mellon (1993-1995), Jay Drosin (2001-2004) na Joseph Mgaya
(2004-2013) hawakuwa Wafamasia.
Kuhusu Kampuni ya CRJE kuhusishwa na Balozi Ombeni Y. Sefue
Suala la kumhusisha Katibu Mkuu
Kiongozi na kampuni hii nalo ni uzushi na uongo wa kupindukia. Wakati
kampuni hii ikipewa tenda ya kujenga Chuo Kikuu cha Dodoma mwezi Oktoba
2007, Balozi Ombeni Y. Sefue hakuwa Katibu Mkuu Kiongozi; alikuwa Balozi
wa Tanzania nchini Marekani. Kadhalika mchakato wa kumpata mkandarasi
wa daraja la Kigamboni, ulipoanza mwezi Machi, 2011, Balozi Sefue hakuwa
Katibu Mkuu Kiongozi; alikuwa Balozi wa Tanzania, Umoja wa Mataifa, New
York. Hata mkataba wa ujenzi wa Daraja hilo uliposainiwa tarehe 9 Januari, 2012, Balozi Sefue alikuwa na wiki moja tu ya kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kufuatia kuteuliwa tarehe 30 Disemba, 2011. Aidha, Kampuni iliyoshinda tenda hiyo wala siyo CRJE kama ilivyoandikwa na gazeti hilo bali ni China Major Bridges Engineering Company (BCEC) kwa kushirikiana na Kampuni ya China Railway Construction (CRCEG).
Kuhusu tuhuma kuwa Katibu Mkuu Kiongozi Chapuo Kampuni ya UGG:
MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA (TCAA), HAMZA JOHARI.AANZA KAZI RASMI.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari (katikati) akimsikiliza
kwa makini Mwanasheria wa Mamlaka hiyo , Vallery Chamulungu wakati
alipokuwa akimkaribisha rasmi ofsini hapo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA).Hamza Johari (watatu kushoto)
akimsikiliza kwa makini Mwanasheria wa Mamlaka hiyo , Vallery Chamulungu
(watatu kutoka kulia) wakati alipokuwa akimkaribisha rasmi ofisini
Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam. Wengini ni maofsa wa
mamlaka hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari (KUSHOTO)akisalimiana na
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uongozaji ndege na Huduma za ufundi , Bw.
Nyello Abeid ,wakati wa kumkalibisha rasmi kuanza kazi TCAA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari akiwa katika kikao na
menejimenti ya Mamlaka hiyo mara baada ya kukaribishwa rasmi kuanza kazi
Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam.
.Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania, Hamza Johari akiwa rasmi ofini kwake kuanza
majukumu yake kama Mkurugenzi Mkuu TCAA ,baada ya kukaribishwa rasmi
TCAA.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya
Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza Johari akipokea Shada la maua
kutoka kwa mmoja wa wafanyaakzi wa Mamlaka hiyo ,Evelyne Ngachengo
,wakati alipokuwaakikaribishwa na wafanyakazi wenzake rasmi kuanza kazi
,rasmi ofisini Makao Makuu ya TCAA, Banana Ukonga Dar es Salaam.
WANAFUNZI WA SHULE YA NAMABENGO SEKONDARI WAANDAMANA KUPINGA VITENDO VYA KIKATILI WANAVYOTENDEWA NA MWALIM MKUU MSAIDIZI SHULENI HAPO
Mwanafunzi
wa shule ya SEKONDARI NAMABENGO ambaye hakufahamika jina akionyesha
kidonda anachouguza kutokana na fimbo ambazo wanapigwa na mwalim mkuu
msaidizi wa shule hiyo SHAIB CHAMPUNGA.
Wanafunzi wa shule ya sekondari namabengo wakiwa wamekaa na kumsikiliza afisa elimu wa wilaya hiyo ambaye hayupo pichani .
MAHAKAMA YA TANZANIA YAKUTANA NA WADAU JIJINI DAR ES SALAAM, YASISITIZA UTOAJI WA HAKI KWA WAKATI NA UBORESHAJI WA MIUNDOMBINU.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama Bw.
Hussein Katanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha
Mrejesho wa Wadau walioshiriki katika utoaji wa Elimu ya Sheria kwa
wananchi Februari 1 hadi 3, 2016 katika viwanja vya Mnazi mmoja,
jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mtendaji Mkuu Mahakama Kuu, Solanus
Nyimbi na Kulia ni Msajili wa Mahakama ya Rufaa, John Lugalema Kahyoza
Mtendaji Mkuu wa Mahakama Bw.
Hussein Katanga (katikati) akisisitiza jambo wakati wa kikao cha
Mrejesho wa Wadau walioshiriki katika utoaji wa Elimu ya Sheria kwa
wananchi Februari 1 hadi 3, 2016 katika viwanja vya Mnazi mmoja,
jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mtendaji Mkuu Mahakama Kuu, Solanus
Nyimbi na Kulia ni Msajili wa Mahakama ya Rufaa, John Lugalema Kahyoza
Washiriki wa kikao cha Mrejesho
wa Wadau walioshiriki katika utoaji wa Elimu ya Sheria kwa wananchi
Februari 1 hadi 3, 2016 katika viwanja vya Mnazi mmoja, wakifuatilia
kikao hicho leo jijini Dar es salaam.
Mmoja wa washiriki wa kikao hicho akichangia.
…………………………………………………………………………………………………….
DK. KIGWANGALLA AAGIZA KUFUNGWA CHUMBA CHA UPASUAJI CHA HOSPITALI YA SANITAS YA MIKOCHENI
Naibu
wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Kigwangalla ameagiza kufungwa mara moja Chumba cha upasuaji cha
hospitali ya Sanitas ya Mikocheni Jijini Dar es Salaam baada ya kubaini
kuwa na kasoro mbalimbali ikiwemo mfumo na ramani yake kimefungwa kwa
kutokidhi vigezo vya kimataifa vya namna chumba hicho kinavyotakiwa
kuwa.
Naibu
wa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt.
Hamisi Kigwangalla (katikati) akipata maelezo machache kutoka kwa Meneja
uendeshaji wa Hospitali ya Sanitas, Bi. Gean Cabral wakati
walipowasilia katika ziara hiyo..
Dk Kigwangalla akikagua baaadhi ya sehemu katika hospitali hiyo.
Dk.
Kigwangalla akizungumza na baadhi ya wagonjwa (hawapo pichani) namna
Serikali ya Rais Magufuli inavyofanya kazi kwa kusimamia haki na usawa
ikiwemo kufika katika maeneo yenye kero na kuchukua hatua ilikumuokoa
Mwananchi katika kupata haki yake na huduma bora anayostahiki.
Dk. Kigwangalla akitoa maagizo hayo kwa Meneja uendeshaji wa hospitali hiyo, Bi. Gean Cabral
Dk.
Kigwangalla akimuonesha moja ya ‘karatasi’ iliyoandikwa ujumbe
mbalimbali dhidi ya madai kutoka kwa wafanyakazi wa Hospitali hiyo.
Meneja Uendeshaji wa Hospitali hiyo Bi. Gean Cabral akifafanua jambo pamoja na Naibu Waziri wakati wa ziara hiyo..
Dk
Kigwangalla akiangalia namna hali ya Maabara ya Hospitali hiyo licha ya
kuwa na vifaa vya kutosha, lakini imeshindwa kuweka mpangilio mzuri
unaotakiwa kutumika katika mahabara. ikiwemo suala la usafi
Naibu
Waziriwa Afya, Dk. Kigwangalla (kushoto), Msajili wa Hospitali Binafsi
pamoja na maafisa wengine akiwemo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni,
Dk. Aziz (kulia) wakijadiliana jambo muda mfupi baada ya kumalizika kwa
ziara hiyo ya kushtukiza kuangalia namna ya uendeshaji katika huduma za
Sekta za Afya, zikiwemo za Serikali na zile za watu binafsi. (Picha zote
na Andrew Chale,Modewjiblog).
UNCDF YAWAKUTANISHA WATAALAMU WA FEDHA KUTOKA NCHI MBALIMBALI KUJADILI JINSI YA KULETA MAENDELEO KWA KUTUMIA VYANZO VYA NDANI
Mkurugenzi
wa Maendeleo ya Fedha wa Umoja wa Mataifa (UNDCF), David Jackson,
(kulia), akitoa mada kwenye mkutano wa siku mbili wa wataalamu wa fedha
na wadau wa maendeleo 62 kutoka nchi mbalimbali Duniani, kwenye hoteli
ya Hyaatt Regency, Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, Februari 29, 2016.
Naibu
Mkurugenzi Mtendaji Benki ya TIB, Jaffer Machano, akitoa mada kwenye
mkutano wa siku mbili wa Wataalamu wa fedha na wadau wa maendeleo 62
kutoka nchi mbalimbali Duniani, kwenye hoteli ya Hyaatt Regency,
Kilimanjaro jijini Dar es Salaam, Februari 29, 2016.
Mtoa Mada, Suzane Ngane kutoka Cameroun, akitoa mada kwenye mkutano huo.
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Serikali za Mitaa Tanzania (ALAT), Habraham Shemumoyo, kitoa
mada kwenye mkutano wa siku mbili wa Wataalamu wa fedha na wadau wa
maendeleo 62 kutoka nchi mbalimbali Duniani uliofanyika jijini Dar es
Salaam, Februari 29, 2016.
HALI YA UNYONYESHAJI WATOTO NCHINI SIO NZURI
Imeelezwa
kuwa wastani wa unyonyeshaji kwa watoto walio chini ya miezi sita
nchini sio mzuri na hivyo kuwa na uwezekano wa watoto kudhoofika kwa
kukosa maziwa ya mama ambayo yanakuwa na virutibisho muhimu kwa ukuaji
ya mtoto.
Hayo
yamesemwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe,
Dkt. Joyceline Kaganda katika warsha iliyoandaliwa na UNICEF ili
kujadili jinsi uwekezaji mkubwa zaidi katika kunyonyesha maziwa ya mama
kunaweza kusaidia maendeleo kiuchumi na kuokoa maisha ya watoto nchini.
Mwakilisha
wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) nchini, Bi. Maniza
Zaman akitoa neno la ufunguzi katika warsha iliyoandaliwa na UNICEF ili
kujadili jinsi uwekezaji mkubwa zaidi katika kunyonyesha maziwa ya mama
kunaweza kusaidia maendeleo kiuchumi na kuokoa maisha ya watoto
nchini.(Picha zote na Rabi Hume wa Modewjiblog)
Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe, Dkt. Joyceline
Kaganda katika warsha iliyoandaliwa na UNICEF akielezea hali ya
unyonyeshaji kwa watoto ilivyo nchini.
Baadhi ya wadau wa sekta ya afya waliohudhuria katia warsha hiyo wakifatilia kwa makini ripoti zilizokuwa zikitolewa.
Mshauri
Mwandamizi wa maswala ya watoto wadogo na unyonyeshaji kutoka Makao
Makuu ya UNICEF, New York, Dr. France Begin akielezea kuhusu makala za
The Lancet juu ya uwekezaji mkubwa zaidi katika kunyonyesha maziwa ya
mama jinsi kunavyoweza kusaidia maendeleo ya kiuchumi na kuokoa maisha
ya watoto nchini.
Mshauri
Mwandamizi wa maswala ya watoto wadogo na unyonyeshaji kutoka Makao
Makuu ya UNICEF, New York, Dr. France Begin akiwaonyesha wahudhuriaji wa
warsha hiyo ripoti ya utafiti uliofanywa na jarida la The Lancet
linalohusika na kuandika habari za afya.
Viongozi
wa Taasisi mbalimbali waliofika katika warsha hiyo wakifatilia ripoti
ya utafiti uliofanywa na jarida la The Lancet. Wa kwanza kulia ni
Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe katika Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Dkt. Vicent Assey, Mkurugenzi Idara ya
Uratibu wa Shughuli za Serikali, Ofisi ya Waziri Mkuu,Obey Assery Nkya,
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe, Dkt. Joyceline
Kaganda na Mwakilisha wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto
(UNICEF) nchini, Bi. Maniza Zaman.
Mkurugenzi
Idara ya Uratibu wa Shughuli za Serikali kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu,
Obey Assery Nkya akielezea hatua ambazo serikali imechukua ili kupunguza
idadi ya kina mama ambao hawanyonyeshi watoto.
Viongozi
wa Taasisi mbalimbali waliofika katika warsha hiyo wakisikiliza maswali
yaliyokuwa yakiulizwa na wadau wa sekta ya afya na waandishi wa habari.
Wa kwanza kulia ni Mshauri Mwandamizi wa maswala ya watoto wadogo na
unyonyeshaji kutoka Makao Makuu ya UNICEF, New York, Dr. France Begin,
Mkurugenzi Msaidizi Huduma za Lishe katika Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Dkt. Vicent Assey, Mkurugenzi Idara ya
Uratibu wa Shughuli za Serikali, Ofisi ya Waziri Mkuu,Obey Assery Nkya,
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe, Dkt. Joyceline
Kaganda na Mwakilisha wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto
(UNICEF) nchini, Bi. Maniza Zaman.
Mkuu wa kitengo cha fedha na malipo nchini kutoka Benki ya Dunia, Douglas Pearce akiuliza swali katika warsha hiyo.
Mwakilisha
wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) nchini, Bi. Maniza
Zaman akitoa neno la shukrani kuashiria kumalizika kwa warsha hiyo.
WAZIRI WA MAJI NA UMWAGILIAJI AZINDUA MRADI WA MAJI KILIMANJARO
Mkuu
wa Wilaya ya Moshi, Novatus Makunga akizungumza mbele ya Waziri wa
Umwagiliaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge, viongozi na wananchi wa Longuo,
Wilayani Moshi.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge akimtwika maji mama
katika Kijiji cha Longuo, Wilayani Moshi mara baada ya kuzindua mradi wa
maji kijijini hapo.
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge akiwa na Mkuu wa Wilaya
ya Moshi, Novatus Makunga (kulia) na wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya
Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA).
Waziri
wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Inj. Gerson Lwenge akiwa na viongozi na
wataalamu aliombatana nao kwenye ziara yake kwenye chanzo cha maji cha
Midawe, kilichopo kwenye Mto Nduruma, katika Kijiji cha Bangata,
kilichopo Kata ya Bangata, Wilayani Arumeru
Mkurugenzi
Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA),
Inj. Ruth Koya akimuonyesha Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhe. Inj.
Gerson Lwenge moja ya miradi ya maji inayotekelezwa na mamlaka hiyo,
Kata ya Moshono, Wilayani Arumeru.
………………………………………………………………………………………………………..
Waziri wa Maji na Umwagiliaji,
Mhe. Inj. Gerson Lwenge amezindua mradi wa maji wa Longuo, katika Kijiji
cha Longuo, Wilaya ya Moshi mwishoni mwa wiki katika ziara yake mkoani
Kilimanjaro. Mradi huo unaohudumia vijiji vya Longuo na Kariwa, umekuwa
faraja kubwa kwa wananchi, ambao kwa muda mrefu walikuwa na tatizo la
kupata huduma ya majisafi na salama na kusababisha hatari ya magonjwa ya
milipuko kwa wananchi.
Mhe. Lwenge, amefurahishwa na
utekelezaji wa mradi huo ambao umechukua siku themanini tu kukamilika,
na kuipongeza Mamlaka ya Majisafi na Mazingira Moshi (MUWSA) kwa
usimamizi mzuri wa mradi huo. Pia, alitembelea chanzo cha maji,
chemchemi ya Kisimeni iliyopo Kata ya Uru Kusini ambayo inachangia
uzalishaji wa maji katika Wilaya ya Moshi.
Vilevile, Mhe. Lwenge alitembelea
miradi ya maji inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa
Mazingira Arusha (AUWSA). Katika ziara yake hiyo mkoani Arusha, Waziri
wa Maji na Umwagiliaji, aliweza kufika kwenye chanzo cha maji cha
Midawe, kilichopo kwenye Mto Nduruma, katika Kijiji cha Bangata,
kilichopo Kata ya Bangata, Wilayani Arumeru ambao unachangia asilimia
ishirini ya uzalishaji maji kwa Jiji la Arusha.
Pia, alifika kwenye chanzo cha
maji cha chemchemi ya Machare, iliyopo Kata ya Moshono, Wilayani Arumeru
iliyovamiwa na wananchi wanaofanya shughuli za kibinadamu kinyume na
sheria na kuhatarisha uzalishaji wa maji ya kutosha kwa ajili ya
kuhudumia mji wa Arusha.
SPIKA WA BUNGE MH. JOB NDUGAI AKUTANA NA WABUNGE WA AFRIKA MASHARIKI LEO
Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mh, Job Ndugai akizungumza na wabunge wa Bunge la
Afrika Mashariki (EALA) hawapo pichani kutoka Tanzania wakati
walipomtembelea katika ofisi zake zilizopo jijini Dar es salaam na kumpa
salaam maalum za kumpongeza Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa
kuchaguliwa kwake na watanzania na kuwa Rais wa Tanzania awamu ya Tano
ikiwa ni pamoja na kupongeza utendaji kazi wake kwa ujumla wake.(PICHA
NA JOHN BUKUKU- FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM)
Baadhi ya wabunge wa bunge la
Afrika Mashariki waliomtembelea Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai kutoka
kulia ni Mh. Adam Kimbisa, Mh. Shy Rose Banjhi na Mh. Abdallah Mwinyi
wakizungumza na Spika wa Bunge.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh, Job Ndugai kulia akizungumza na wabunge hao.
Mkurugenzi wa Mhusiano ya Kimataifa ofisi ya Bunge Bw. Josey Mwakasyuka akijitambulisha katika mkutano huo.
Mh. Shy Rose Banjhi akizungumza
na waandishi wa habari mara baada ya kukutana na Spikawa Bunge Mh. Job Ndugai kushoto ni Afisa habari wa Bunge Bw. Owen Mwandumbya
No comments :
Post a Comment