Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mkewe Mary (kushoto kwake ) wakielekea kwenye Chumba cha mapumziko
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Songea na kupokelewa na
wanachi na viongozi wa mkoa huo Januari 3, 2016. Kulia kwake ni Mkuu wa
Mkoa wa Ruvuma , Thabiti Mwambungu na kushoto ni Mbunge wa Songea
Leonidas Gama. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment