Afisa Habari Mkuu wa Idara ya Habari
Maelezo Zanzibar Ramadhani Ali akiwakaribisha viongozi wakuu wa Umoja
wa Maaskofu Zanzibar kuzungumza na waandishi wa Habari kupinga kuhusika
na barua ya Maalim Seif Sharif Hamad aliyompelekea Papa Fransis,
wakwanza (kulia) ni Makamo Mwenyekiti wa Umoja huo Askofu Michael Hafidh
na (kati) ni Katibu Mkuu Askofu Dickson Kaganga.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaskofu
Zanzibar Askofu Dikson Kaganga akizungumza na Waandishi wa Habari
(hawapo pichani) katika Ukumbi wa Wizara ya Habari, Utamaduni Utalii na
Michezo kukanusha kuhusika kwao na barua ya Maalim Seif Sharif Hamad
aliyomuandikia Papa Fransis.
Waandishi wa Habari wakimsikiliza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Maaskofu Zanzibar Askofu Dickson Kaganga katika
mkutano uliofanyika Ukumbi wa Wizara ya Habari Utamaduni Utalii na
Michezo Zanzibar Mnazimmoja.
Mwenyekiti wa Umoja wa Maaskofu
Zanzibar Askofu Agostino Shao akijibu maswali ya waandishi wa Habari
kwenye mkutano wa kupinga kuhusika kwao na Barua ya Maalim Seif Sharif
Hamad aliyompelekea Papa Fransis. (kushoto) ni Askofu Shayo na (kulia)
ni Askofu Dickson Kaganga.PICHA NA ABDALLA OMAR – HABARI MAELEZO ZANZIBAR
No comments :
Post a Comment