Wednesday, January 27, 2016

CHENGE AANZA RASMI UENYEKITI WA BUNGE



 Mwenyekiti wa Bunge, Mtemi Andrew Chenge  akiongoza kikao cha Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2016. Mtemi Change ambaye ndiye mbunge wa mufa mrefu kuliko wrote kwa sasa, alichaguliwa kuwa mmoja kati ya wenyviti wa bunge na Leo tayari ameianza kazi
 Waziri waWaziri wa Elimu , Sayansi, Tekinolojia na Mafunzo ya Ufundi Joyce  Ndarichako, bungeni mjini Dodoma Januari 27, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe, Bungeni mjini Dodoma January 27, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge kwenye jengo la Utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 27, 2016. Kutoka kushoto ni Ruth Mollel wa Viti Maalu Chadema, Hawa Mwinga wa Viti Maalum Cahdema na  Ali Saleh wa Malindi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment