Waziri
Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi vifaa mmojawa wanawake wakimbizi
kutoka Burundi, ambaye amejifungua kwenye hospitali wakimbizi katika
kambi ya Nyarugusu wilayani
Kaslu mkoani Kigoma akiwa katika ziara ya mkoa wa Desemba 29, 2015
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na wanawake waliojifungua katika
wodi ya wazazi ya hospitali ya wakimbizi katika kambi ya Nyarugusu wilayani
Kaslu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwapungia wakimbizi kutoka Burundi
wakati alipotembelea kambi ya Nyarugusu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma
Desemba 29, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na watumishi wa
mashirika mbalimbali ya kimatifa wanaowahudumia wakimbizi wa Burundi kwenye
kambi ya Nyarugusu wilyani Kasulu akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma
Desemba29, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Watoto wa wakimbizi kutoka Burundi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye kambi ya wakimbizi ya
Nduta wilayani Kibondo Desemba 29, 2015.
Watoto wa wakimbizi kutoka Burundi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa hadhara kwenye kambi ya wakimbizi ya
Nduta wilayani Kibondo Desemba 29, 2015.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la
Shule ya Msingi inayojengwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta wilayani Kibondo
ambayo imepewa jina lake, Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba
29, 2015. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa amekalia dawati katika moja ya
madarasa ya Shule ya Msingi inayojengwa kwenye kambi ya wakimbizi ya Nduta
ambayo imepewa jina lake . Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29,
2015. Wapili kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Ruth Msafiri
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akimkabidhi Mkuu wa Kambi ya Wakimbizi ya
Nduta, Bw. Frederick Nisajile shilingi milioni 2 zikiwa ni mchango wa kusaidia
programu ya upandaji miti kwenye maeneo yanayozunguka kambi hiyo. Alikuwa
katika ziara ya mkoa wa Kigoma Desemba 29, 2015. Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya
Kibondo, Ruth Msafiri.
Na Krantz Mwantepele, Geita
Ni miaka mitatu na miezi nane toka mraghbishi Fedson Yaida na
wenzake toka vijiji vya jirani kukutana na Chukua Hatua. Ni rafiki waliyekutana
naye mwaka 2011 katika mazungumzo maalumu ambayo walitakiwa kuyafikisha kwa wananchi
wenzao wa vijiji vya Shenda, Iponya, Nyakasumula na Bukandwe katika wilaya ya
Mbogwe mkoani Geita. Ni katika mazungumzo hayo ya siku tatu, ambayo Fedson
toka kijiji cha Shenda alibadilishwa na kuwa mraghbishi wa aling’amua uwezo
alio nao katika kusimamia rasilimali za kijiji chao, suala ni angezisimamiaje
wakati yeye si kiongozi na ni jukumu la wanakijiji wote. Katika
mazungumzo hayo rafiki yao, Chukua Hatua aliwaambia, “Ni jukumu lako Fedson na
waraghbishi wengine mliopo hapa, ni jukumu lenu la msingi kuj i t aj i r i s
Uongozi mpya wa
shirikisho la elimu ya vyuo vikuu nchini Tanzania TAHLISO umesema kuwa upo
tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania Dr John pombe magufuli kwa kasi
aliyoanza nayo na kuhakikisha kuwa elimu ya Tanzania hasa elimu ya vyuo vikuu
inakuwa ya ubora unaofaa na inaheshimika nchini Tanzania.
Makamu Mwenyekiti mpya wa TAHLISO Ndugu JUMA ALLY OMARI akila kiapo leo jijini Dar es salaam |
No comments :
Post a Comment