Afisa Matekelezo na Uratibu wa Bima ya Afya Salvatory Okumu, akitoa mada katika kongamano
la Bima ya Afya lililoandaliwa na Policy Forum Dar es Salaam, juu ya upatikanaji wa huduma za Afya kwa jamii kupitia Bima (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Afya na
Sayansi shirikishi Muhimbili, Dereck Chitama akizungumza na washiriki wa
kongamano la Bima ya Afya lililoandaliwa na Policy Forum Dar es
Salaam, ambapo -upatikanaji wa huduma za Afya kwa jamii kupitia Bima
hiyo ni miaka zaidi zaidi ya Ishirini imepita tangu kuanzishwa kwa bima
ya Afya nchini lakini mpaka leo zaidi ya robo tatu ya watu Tanzania
hawana bima ya Afya, Hata wale waliyonayo bado wanapata huduma duni hasa
kwa wale walioko vijijini, kutumia dawa na vifaa tiba ni kawaida
malengi,Malengo ya Dunia yametamka wazi kwamba kila mwananchi aweze
kupata huduma bora za Afya na akahoji, je, kwa mwenendo huu wa sasa
ambapo watu wengi hawana bima ya Afya Tunafika?
Afisa Mipango wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Kidani Magwila akizungumza katika kongamano hilo
No comments :
Post a Comment