Na Faustine Ruta, Bukoba
Mamia ya Waakazi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake wakiwemo na Wageni mbalimbali kutoka nje ya Mkoa huu na nje ya Nchi wamejitokeza kwa wingi kumzika marehemu Samuel Luangisa leo Jumatano juni 3, 2015 nyumbani kwake Kitendaguro nje kidogo na Mji wa Bukoba. Marehemu Samuel Luangisa ni miongoni mwa waasisi wa Taifa na katika vipindi tofauti alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Mbunge na Meya wa Manispaa ya Bukoba pamoja na nyadhifa nyingine.

Mbunge wa muleba kusini Prof Anna Kajumulo Tibaijuka
Wanakwaya Mbalimbali walihudhuria Mazishi hayo
Taswira za picha enzi ya uhai wa Marehemu Mhe. Samuel LuangisaMerehemu Samwel
Lwangisa alizaliwa mwaka 1932 na mauti yalimkuta New York Marekani
tarehe 25.05.2015 na kuzikwa leo Jumatano juni 3, 2015 Nyumbani kwake
Kitendaguro Bukoba.
Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini
Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Mhe. Samuel Ntambala Luangisa
Kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa Kagera John Mongella akiwa sambamba
na Mbunge wa Bukoba Mjini kwa tiketi ya CCM, Khamis Sued Kagasheki
katika Mazishi Mhe. Samwel Ntambala Lwangisa leo Nyumbani kwake
KItendaguro Nje kidogo ya Mjini wa Bukoba. Picha na Faustine Ruta
Le Mutuz nae alikuwepo katika Mazishi hayo ya Mhe. Samweli Ntambala Lwangisa.
Kushoto ni Bw. Willy O. Ruta mkurugenzi wa kampuni mpya ya utalii Bukoba Tour akishuhudia Mazishi hayo.
Wengi pia
walifuatilia kupitia kwenye Tv Screen zilizokuwa ukumbini kutokana na
wingi wa Watu hivyo Tukio zima kuwafikia kupitia kwenye tv katika sehemu
walipokuwa maeneo hayo vyema.
Sehemu ya Baadhi ya Wanaumoja
Mwili ukisitiliwa kaburini
Wageni Mbalimbali kutoka Nje ya Nchi walijumuika
Umati uliojitokeza katika mazishi.
No comments :
Post a Comment