Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mwanajuma Majid wakati
alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba aliposhiriki katika
sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya
Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Viongozi wa Chama CCM wakati alipowasili Uwanja wa Ndege wa Karume Pemba aliposhiriki katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi wakati alipowasili katika Viwanja vya Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba katika sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo ,[Picha na Ikulu.] Maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali za Serikali na Binafsi Kisiwani Pemba yakiingia katika uwanja wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chakechake leo wakati wa sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani na kupokelewa na mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) [Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipunga mkono kupokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi kisiwani Pemba wakati akilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipunga mkono kupokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi kisiwani Pemba wakati wa Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.] Wafanyakazi wa Wizara ya Afya Kisiwani Pemba wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakati wa Kilele cha sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.] Wafanyakazi wa ZSTC Pemba wakipita mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea maandamano ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali na Binafsi wakati wa Kilele cha sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo katika Uwanja wa Kiwanja Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba,[Picha na Ikulu.]
Viongozi mbali mbali na wafanyakazi wakiwa katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Pemba wakati wa sherehe za Siku ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani zilizofanyika leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein [Picha na Ikulu.] Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) pamopja na Viongozi wengine wakinyanyua mikono juu wakati wakiimba wimbo maalum wa Mshikamano (Solidarity Forever) wakati wa kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani sherehe zilizofanyika leo Ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake chake Pemba,[Picha na Ikulu.] Viongozi na Wafanyakazi Mbali mbali wakishikamana kunyanyua mikono juu wakiimba kwa pamoja na kuimba wimbo maalum wa Mshikamano (Solidarity Forever) wakati wa kusherehekea Siku ya Wafanyakazi Duniani sherehe zilizofanyika leo Ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Wilaya ya Chake chake Pemba,[Picha na Ikulu.]]

Dk Ali Mohammed Shein awataka vijana kutokubali kudanganywa na baadhi ya wanasaiasa
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein amewataka vijana kutokubali
kudanganywa na baadhi ya wanasaiasa kwamba wanao uwezo wa kutoa
ajira na kuwasihi kutumia fursa ya uwepo wa sekta binafisi kukabiliana
na tatizo hilo .
Amesema tatizo la ajira
linaikabili dunia nzima na kusema kuwa mwarubaini wa kutibu tatizo hilo
ni kwa vijana kujiajiri wenyewe kupitia seka ya kilimo , uvuvi , ufugaji
na utalii .
Dk Shein ameyasema hayo kwenye
maadhisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambapo kwa Zanzibar yamefanyika
kwenye ukumbi wa kiwanda cha mafuta ya Makonyo Wawi Wilaya ya Chake
Chake .
Amesema kuwa dhana ya kutegemea
ajira kutoka Serikalini zimepita na wakati na kwani vijana wanaomaliza
masomo ni wengi kulingana na nafasi za ajira zilizopo .
“Nawaomba vijana msidanganywe na
mkadanganyika hakuna mtu awezaye kuleta miujiza ya kuwaajiri vijana
wote wanaomaliza masomo yao , njia pekee ni kujiajii wenyewe kupitia
sekta binafsi ikiwemo kilimo , utalii , mifugo na uvuvi ” alifahamisha .
Aidha amesema kuwa hakuna
upendeleo wakati wa kuajiri na kuongeza kwamba nafasi za ajira
hutangazwa na tume ya utumishi na ajira hutegemea na kiwango na vigezo
vyua muombaji .
Ameeleza kwamba vijana
wanaomaliza masomo kila mwaka ni zaidi ya elfu tano na serikali htoa
ajira 2,500 kwa mwaka nafasi ambazo haziwezi kuchukua vijana hao .
“kila mwaka ni vijana
zaidi ya elfu tano wanaomaliza masomo yao , na nafasi za ajira ambazo
serikali hutoa kila mwaka ni 2,500 , hivyo itakuwa ni vigumu kuweza
kuwaajiri vijana wote kulingana na uchache wa nafasi ” alieleza Dk Shein
.
Amezidi kueleza kwamba
tangu Serikali ya awamu ya saba iingie madarakani mwaka 2,010 , jumla
ya ajira 25,019 zimetolewa kwa vijana ambapo kati ya hizo 20,169
zimetokana na sekta binafsi na 4,850 pekee ndiyo zilizotolewa na
Serikali.
Akizungumzia suala la
malimbikizi ya mishahara na posho kwa walimu , dk Shein amesema kuwa
tatizo hilo litapatiwa ufumbuzi katika bajeti ijayo pamoja na kuangaliwa
uwezekano wa kuongeza mshahara kwa watumishi wa serikali na binafsi .
“Tatizo la malimbikizi
ya mishahara na maposho ya walimu litamalizika katika bajati ijayo
napenda kuahidi kwamba malipo hayo yatalipwa na pia tutangalia uweekano
wa kuongeza mshahara pindi hali ya uchumi ikiruhusu” aliongeza Dk Shein .
Mapema Waziri wa nchi
Ofisi ya Rais , Kazi na Utumishi wa Umma Haroun Ali Suleiman ameeleza
kwamba katika kipindi cha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Awamu ya
saba imefannya mabadiliko ya mishahara mara tatu kwa wafanyakazi na
watumishi wa serikali .
Amefahamisha
mabadailiko hayo yamendana na sifa , ikiwemo elimu na muda wa utumishi
mabadaliko ambayo yamewawezesha wafanyakazi wa serikali na sekta binafsi
kupunguza ukali wa maisha .
‘Tumefanya mabadiliko
mara tatu ya mishahara tangu Serikali ya Mapinduzi ya awamu ya saba
aiingie madarakani , ni jambo la kujivunia ” alifahamisha Haroun .
Katika risala ya
wafanyakazi wameiomba serikali kuangalia uwezekano wa kuondoa kodi kwa
malipo ya wastaafu pamoja na kuongeza kiwango cha mshahara ili kuondoa
tofauti iliyopo hivi sasa .
WAFANYAKAZI WAHIMIZWA KUJITOKEA KUJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Tume
ya Taifa ya Uchaguzi inaendelea kuwahamasisha wananchi wote kujitokeza
kujiandikisha kwenye daftari la wapiga Kura ili kuweza kupiga kura ya
maoni na kuchagua viongozi katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 2015.
Hayo
yamedhihirika leo wakati wa maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani
Mei 1, 2015 zilizofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo
wizara mbali mbali ikiwemo taasisi binafsi zilibeba mabango yenye ujumbe
kuhamasisha wafanyakazi.
Mpaka sasa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura linaendelea vizuri katika Mikoa ya Ruvuma, Lindi na Mtwara.
Wafanyakazi
wa Tume ya Uchaguzi (NEC) wakiwa katika maandamano kusherekea siku ya
Wafanyakazi Duniani MEI MOSI huku wakiwa na bango lenye ujumbe wao
mahususi kuwahamasisha wananchi kushiriki kujiandikisha na wapige kura
kuchagua kiongozi bora.
Wafanyakazi wa Mamlaka ya anga nao hawakuwa nyuma na mabango yao.
Wafanyakazi wa Ofsi ya Rais – Ikulu…
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege ya Air Tanzania…
Mabango
mbalimbali yamebeba kaulimbiu juu ya kuhamasisha wafanyakazi
kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura km. Nikiripoti toka Uwanja
wa Taifa wa Zamani (Picha na Christina Njovu).
Mkuu wa wilaya ya Korogwe Hafsa Mtasiwa amewataka wananchi kuisoma na kuilewa katiba inapendekezwa
Mkuu wa wilaya ya Korogwe HAFSA MTASIWA
Mkuu wa wilaya ya Korogwe HAFSA MTASIWA
……………………………………………………….
Na Fredy Mgunda,Iringa
Na Fredy Mgunda,Iringa
Akizungumza
na blog hii mkuu wa wilaya ya korogwe HAFSA MTASIWA awataka wananchi wa wilaya
hiyo kusoma na kuijadili katiba hiyo na kutosikiliza kutoka kwa watu.

Aidha
MTASIWA amesisitiza kuwa Tanzania bado tunakatiba yetu na tupo kwenye mchakato
wa kupata katiba mpya hivyo wananchi wanatakiwa kuwa makini na maneno wanayo
ambiwa na watu wengine.

“Katiba
inayopendekezwa imeandikwa na binadamu wa kawaida kama ilivyokuwa hapo awari
katika katiba ambayo inatumika hadi sasa lakini inapaswa kuangalia kuna mambo
gani mapya ambayo yameandikwa kwenye katiba inayopendekezwa na imebeba mambo
gani muhimu katika maendeleo ya Tanzania yetu”.alisema mtasiwa

Lakini
MTASIWA ameendelea kuwataka watanzania kwa ujumla kuendelea kuidhamini amani
tulivyo nayo kwa sasa na tusiwafuate wananchi wengi wenye lengo la kuvuruga
amani yetu kwa maslai yao binafsi hivyo watanzania msidaganyike kwa maneno yao.

MTASIWA amewaomba
wazazi wote kuwapa elimu ya kutosha watoto wao juu ya kutunza amani na kuacha
tabia ya kushabikia maneno ya uchochezi yenye lengo la kuvuga amani yetu.

Wakati
huohuo MTASIWA amewataka wananchi wa wilaya hiyo kujua umuhimu wa kutumia bima
na wajitokeze kuchangia katika mifuko ya bima.

Bima ya afya
inafaida kubwa sana katika maisha yako hivyo lazima wananchi watambue umuhimu
wa kuchangia bima kwa kuwa serikali imepanga kuwachangia wananchi kwa kiasi
kile ambacho wamekichanga kwa mfano wananchi wakichanga milioni 100 na serikali
itatoa milioni 100 kwa lengo la kuboresha sekta ya afya.alisema MTASIWA.

WAZABUNI WAGOMA KULISHA SHULE YA ILBORU KUTOKANA NA MADENI
Katika hali isiyokuwa ya kawaida shule ya vipaji maalumu ya Ilboru
iliopo Jijini Arusha inakabiliwa na tatizo la chakula cha wanafunzi
kutokana na wazabuni kujitoa kupeleka chakula shuleni hapo kwa muda
sasa.

Pia kinacho sababisha wazabuni kujitoa kwenye suala hilo ni kutokana
na kushindwa kulipwa madeni yao kwa wakati maalumu hali ambayo nayo
inawafanya washindwe kuendeleza kazi zao za kila siku hasa za
biashara.

Kauli hiyo imetolewa na mkuu wa shule hiyo Julius Shula kwenye maafali
ya 23 ya kidato cha sita wakati akiongea na wazazi, walezi wa
wanafunzi hao mapema jana.

Shula alisema kuwa shule hiyo imekuwa na changamoto kubwa sana ya
uhaba wa chakula hali ambayo wakati mwingine inasababisha walimu ambao
ni walezi wakuu wa wanafunzi hao kuwa katika wakati mgumu
ukilinganisha kuwa shule hiyo ni ya vipaji maalumu.

“madeni ambayo bado hajalipwa na serikali yamesababisha wazabuni ambao
walikuwa wanasambaza chakula hapa shuleni kuweza kusitisha huduma yao
hivyo basi kuna umuhimu hata wa wazazi nao kuweza kuangalia namna ya
kuwanusuru wanafunzi dhdii ya njaa”aliongeza mkuu huyo.

Aliwaomba wadau wa elimu kuweza kuangalia suala hilo kwa undani na
kisha kutoa misaada ya vyakula kwani wanafunzi hao wakipata chakula
bora pia wataweza kuwa vizuri kwenye masomo yao ya kila siku.

Katika hatua nyingine alisema kuwa mbali na tatizo hilo la uhaba wa
chakula lakini pia kuna changamoto ya ukosefu wa uzio wa shule ambapo
pia wanafunzi wapo hatarini sana kuiga tabia za watu wa nje ambao mara
zote wanatumia njia ambazo wanafunzi nao wanazitumia.

“shule yetu ilijengwa Miaka mingi sana sasa mazingira ya wakati ule na
wakati huu ni tofauti sana hivyo basi kwa sasa vijana hawa wanahitaji
ulinzi sana kutokana na hata maadili yenyewe yalivyooyumba na kama
kila mtu atakuwa anakatisha hatuwezi kujua mwema ni yupi na mbaya ni
yupi hivyo basi tunaomba jamii iweze kuliangalia suala hilo”aliongeza
Mkuu huyo

Awali wahitimu hao waliwaomba wadau mbalimbali kuweza kuatatua
changamoto ambazo zimedumu na kuwafanya wanafunzi kushindwa kufuraia
mazingira ya shule na badala yake kujikuta wakiwa na hofu sana.

Wakitolea mfano wa mazingira ambayo yanawapa hofu pindi wanapokuwa
kwenye mazingira ya shule ni pamoja na miundombinu mibaya ya
umeme(Wiring System)ambayo ipo kwenye mabweni , nyumba za watumishi na
hata madarasa ambapo pia uchakavu huo umedumu kwa miaka mingi sana.

Naye mgeni rasmi Philemon Mollel”Monaban”alisema kuwa amechukua
changamoto zote hizo na atazifanyia kazi kwani elimu ni muhimu sana
kwenye maisha ya vijana wa sasa na ili vijana waweze kufanya vema
kwenye mithiani yao hata ya mwisho kunahitajika kuwepo na mazingira
mazuri na imara.

Mratibu wa asasi ya Better Living Aid atoa wito kwa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi!
Watangazaji Hamisa Mussa Lubilo na Deogratius Yagomba wa VOT fm 89.0 wakimuuliza maswali mratibu wa asasi ya Better Living Aid walipomualika leo asubuhi katika kipindi cha Meza huru! |
Mkala Fundikira akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na watangazaji wa kipindi cha Meza huru, kipindi kinachoruka ktk kituo cha redio cha VOT fm 89.0 ya Tabora leo asubuhi. |
Mkala akiwa amevalia fulana yenye ujumbe wenye kupinga mauaji kwa watu wenye ualbino ya mkakati wa Imetosha. |
Hoteli ambamo chakula cha usiku cha uchangishaji fedha kwa ujenzi wa vyoo na zahanati utafanyika baadae mwezi huu jijini Dar es Salaam iliyopo maeneo ya Ocean road. |
Aidha
asasi hiyo ina mpango wa kuandaa chakula cha usiku jijini Dar es Salaam
katika hoteli ya Southern Sun baadae mwezi huu ambapo Mh Samuel
Sitta(waziri wa uchukuzi) amekubali kuwa mgeni rasmi, karamu hiyo
itaandaliwa ili kuchangisha fedha za kuwezesha miradi hiyo iweze
kukamilika. “Bado tupo kwenye hatua za mwanzo za maandalizi lakini
tunataraji karamu hiyo ya uchangishaji pesa ifanyike ama mwishoni mwa
mwezi wa MEI au mwanzoni mwa mwezi Juni 2015. Pia Fundikira aliwashukuru
Mh Aden Ragen(Mbunge wa Tabora mjini), Mh Munde Tambwe(Viti maalum),
Sylvester Koka(Mbunge wa Kibaha) na wanachama na wote wa Better Living
Aid kwa kuwezesha kifedha upulizwaji wa dawa kijiji cha Amani
uliogharimu Tsh Laki 980.
UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UBELGIJI UKISHIRIKIANA NA PROIN PROMOTIONS WAZINDUA RASMI MANUNUZI YA FILAMU ZA KITANZANIA ONLINE
Mwenyekiti
wa Proin Group Tanzania ndugu Johson Lukaza akizungumza machache na
kuwashukuru watu wote waliohudhuria uzinduzi wa manunuzi ya filamu za
kitanzania online hapo jana katika ukumbi wa ACP House jijini Brussel
nchini Ubelgiji na kuudhuriwa na watu wa mataifa mbalimbali.Uzinduzi huo
ulifanywa na balozi wa Tanzania Mheshimiwa Diodorus Kamala.
Dr.Pendo akifanya mahojiano machache na Mheshimiwa Emmanuel kuhusiana na Filamu za kitanzania ambazo zitakuwa ziliuzwa mitandaoni pipote duniani. |
Mwenyekiti wa Proin Promotion Tanzania ndugu Johson Lukaza [r] akiwa na viongozi wa Kitanzania nchi Ubelgiji katika sherehe za uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania onlione. |
Kiongozi wa watanzania nchini Ubelgiji bwana Macha[r] akiwa na kiongozi wa watanzania jijini Antwerpen kwenye uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania online popote duniani |
Mwenyekiti wa Proin Promotion bwana Johnson Lukaza [l] akiwa na mmoja wa wageni waalikwa katika uzinduzi wa manunuzi ya filamu za kitanzania online jijini Brussel nchini Ubelgiji hapo jana. |
RAIS KIKWETE ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA
Rais
wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa
Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa
iliyotolewa Dar es Salaam, leo, Alhamisi, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya
Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.
Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea walipoteuliwa Novemba 28, 2006.
Kabla ya uteuzi wake, Jaji Mwarija alikuwa Jaji Mfawadhi, Kitengo cha Biashara, Mahakama Kuu, Dar Es Salaam. Kabla ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kati ya mwaka 2003 na 2006.
Aliajiriwa kama Hakimu Mkazi Daraja la Tatu Februari 2, mwaka 1987, baada ya kupata Shahada ya Sheria mwaka 1986.
Naye Jaji Mugasha, kabla ya uteuzi wake, alikuwa Jaji Mfawidhi, Dar es Salaam. Alikuwa Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha na awali Kanda ya Moshi tangu 2009 hadi alipohamishiwa Mahakama Kuu, Dar Es Salaam.
Aliajiriwa kama Wakili wa Serikali mwaka 1983 baada ya kupata Shahada ya Sheria mwaka huo huo, 1983.

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
30 April, 2015
No comments :
Post a Comment