Mkurugenzi
Mkuu wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Adam Mayingu
akifafanua jambo wakati akizungumza na Wadau mbali mbali wa Sekta ya
Habari wakati wa Semina ya siku moja ya kuelezea shunguli mbali mbali za
Mfuko huo kwa Wadau hao, iliyofanyika Machi 31, 2015 kwenye Makao Makuu
ya PSPF, Golden Jubilee Tower, jijini Dar es salaam.
Sehemu
ya Wadau hao wakimsikiliza kwa makini Mkutugenzi Mkuu wa Mfuko wa
Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF), Adam Mayingu alipoelezea machache
juu ya PSPF.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma
(PSPF), Neema Muro akitoa maelezo ya Mfuko huo kwa Wadau wa Sekta ya
Habari walihudhulia Semina ya siku moja, iliyofanyika Machi 31, 2015
kwenye ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya PSPF, Golden Jubilee Tower,
jijini Dar es salaam.
Mdau Othman Maulid wa Zanzinews Blob, akifatilia kwa makini mafunzo hayo.
Meneja
wa Mpango wa Hiari wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF),
Mwanjaa Sembe akitoa maelezo juu ya Mpango wa kujiunga na Mfuko wa PSPF
kwa hiari, ambapo wadau wote waliofika kwenye semina hiyo waliweza
kuijiunga na mpango huo.
Mwanadada Shamim Mwasha wa 8020Fashions Blog akifatilia Semina hiyo.
SOMA ZAIDI »
PICHA NA IKULU
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kuna Umuhimu mkubwa wa kuweka suala la Ajira katika ajenda ya maendeleo, mipango na progamu ya Mataifa yote duniani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work).
Rais Kikwete amesema tatizo la ajira lina pande mbili, kwanza linaweza kutumika vizuri pale wawekezaji wanapokuja barani Afrika, wanaweza kupata nguvu kazi iliyopo tayari, ikiwa inakidhi matakwa ya kazi na pili ni changamoto kubwa pale ambapo ajira hazipatikani kwa kundi kubwa la vijana ambao wanaongezeka kila mwaka.
"Hivyo ni muhimu ukuzaji wa ajira kuwa kipengele muhimu katika ajenda ya maendeleo, mipango na programu mbalimbali katika Mataifa yote" Rais amesema na kuelezea kuwa pamoja na ukweli uliopo kuwa nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania, zimeonyesha hali nzuri ya uchumi kwa miongo miwili mpaka mitatu iliyopita, na kuonyesha kuwa bara la Afrika ni moja ya mabara yanayokua kwa kasi kiuchumi duniani, bado bara linakabiliwa na tatizo kubwa la ajira.
"Natarajia tutabadilishana mawazo ya jinsi gani Afrika inaweza kutatua tatizo hili na pia kupata mawazo ya nini kifanyike kuweza kuvutia wawekezaji zaidi". Rais amesema.
"Pia nitapenda kupata mawazo na ikiwezekana kuunga mkono katika kusaidia vijana wetu katika suala la kujiajiri" ameongeza na kusema suala hili linahitaji programu maalum na miradi.
Rais Kikwete amezungumzia suala la ajira barani Afrika kuwa la kutia mashaka na hivyo kuhitaji hatua za haraka. Takwimu zinaonesha kuwa Afrika ilitengeneza ajira 37 million pekee kwa kipindi cha muongo uliopita, kati ya hizi asilimia 28 zilikuwa ajira zenye utu, na wakati huo huo inakadiriwa kuwa, soko la ajira barani Afrika linapokea watu milioni 122 katika ajira mpya kila mwaka.
"Hii inatisha sana kwa vile karibu watu 200 barani Afrika ni wake wenye miaka 15 na 24 na kwamba idadi hii itaongezeka mara mbili ifikapo mwaka 2045"
Rais amefafanua na kuonyesha wasiwasi wake kwamba bara la Afrika litakumbwa na idadi kubwa ya ukosefu wa ajira, na kibaya zaidi idadi kubwa kuwa ya vijana.
Imetolewa na;
Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
New York - USA
31 Aprili, 2015
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo.
Nyumba za gharama nafuu za NHC Mwongozo, Kigamboni Dar es Salaam zinavyoonekana leo wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi alipozitembelea.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo ya Injinia wa NHC, Elisante Ulomi anayesimamia Mradi wa Mwongozo Housing Estate mchana wa leo.
Mojawapo ya Nyumba za gharama nafuu za NHC Kibada, Kigamboni Dar es Salaam inavyoonekana leo wakati Waziri Lukuvi alipozitembelea.
Nyumba za gharama nafuu za NHC Kibada, Kigamboni Dar es Salaam zinavyoonekana leo wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi alipozitembelea.
Waziri Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo.

Nyumba za mradi mkubwa wa NHC Morocco Square, Dar es Salaam zikiwa zinajengwa katika hatua ya msingi, zinavyoonekana leo wakati Waziri Lukuvi alipozitembelea.

Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Ernest Mangu amefanya mabadiliko kwa baadhi ya makamanda wa polisi wa mikoa.
RAIS KIKWETE AHUTUBIA UMOJA WA MATAIFA KATIKA MKUTANO WA KUPATA MAENDELEO ENDELEVU KWA KUKUZA AJIRA NA KAZI ZA UTU
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakiondoka baada ya yeye kuhutubia
wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo
endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable
development through employment creation and decent work) tarehe 30
Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New
York, Marekani.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Kuna Umuhimu mkubwa wa kuweka suala la Ajira katika ajenda ya maendeleo, mipango na progamu ya Mataifa yote duniani.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo tarehe 30 Aprili, 2015 katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York wakati wa ufunguzi wa Mkutano unaozungumzia jinsi ya kupata Maendeleo endelevu kwa kukuza ajira na kazi zenye utu (Achieving sustainable development through employment creation and decent work).
Rais Kikwete amesema tatizo la ajira lina pande mbili, kwanza linaweza kutumika vizuri pale wawekezaji wanapokuja barani Afrika, wanaweza kupata nguvu kazi iliyopo tayari, ikiwa inakidhi matakwa ya kazi na pili ni changamoto kubwa pale ambapo ajira hazipatikani kwa kundi kubwa la vijana ambao wanaongezeka kila mwaka.
"Hivyo ni muhimu ukuzaji wa ajira kuwa kipengele muhimu katika ajenda ya maendeleo, mipango na programu mbalimbali katika Mataifa yote" Rais amesema na kuelezea kuwa pamoja na ukweli uliopo kuwa nchi mbalimbali barani Afrika ikiwemo Tanzania, zimeonyesha hali nzuri ya uchumi kwa miongo miwili mpaka mitatu iliyopita, na kuonyesha kuwa bara la Afrika ni moja ya mabara yanayokua kwa kasi kiuchumi duniani, bado bara linakabiliwa na tatizo kubwa la ajira.
"Natarajia tutabadilishana mawazo ya jinsi gani Afrika inaweza kutatua tatizo hili na pia kupata mawazo ya nini kifanyike kuweza kuvutia wawekezaji zaidi". Rais amesema.
"Pia nitapenda kupata mawazo na ikiwezekana kuunga mkono katika kusaidia vijana wetu katika suala la kujiajiri" ameongeza na kusema suala hili linahitaji programu maalum na miradi.
Rais Kikwete amezungumzia suala la ajira barani Afrika kuwa la kutia mashaka na hivyo kuhitaji hatua za haraka. Takwimu zinaonesha kuwa Afrika ilitengeneza ajira 37 million pekee kwa kipindi cha muongo uliopita, kati ya hizi asilimia 28 zilikuwa ajira zenye utu, na wakati huo huo inakadiriwa kuwa, soko la ajira barani Afrika linapokea watu milioni 122 katika ajira mpya kila mwaka.
"Hii inatisha sana kwa vile karibu watu 200 barani Afrika ni wake wenye miaka 15 na 24 na kwamba idadi hii itaongezeka mara mbili ifikapo mwaka 2045"
Rais amefafanua na kuonyesha wasiwasi wake kwamba bara la Afrika litakumbwa na idadi kubwa ya ukosefu wa ajira, na kibaya zaidi idadi kubwa kuwa ya vijana.
Imetolewa na;
Premi Kibanga,
Mwandishi wa Habari wa Rais Msaidizi,
New York - USA
31 Aprili, 2015
WAZIRI LUKUVI AHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI KUSHUHUDIA UTENDAJI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA ( NHC )
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo.
Nyumba za gharama nafuu za NHC Mwongozo, Kigamboni Dar es Salaam zinavyoonekana leo wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi alipozitembelea.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akisikiliza maelezo ya Injinia wa NHC, Elisante Ulomi anayesimamia Mradi wa Mwongozo Housing Estate mchana wa leo.
Mojawapo ya Nyumba za gharama nafuu za NHC Kibada, Kigamboni Dar es Salaam inavyoonekana leo wakati Waziri Lukuvi alipozitembelea.
Nyumba za gharama nafuu za NHC Kibada, Kigamboni Dar es Salaam zinavyoonekana leo wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi alipozitembelea.
Waziri Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Vangimembe Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo.
Waziri Lukuvi akikagua mradi wa nyumba za gharama nafuu za makazi za Kibada, Kigamboni alipokuwa akikagua mradi huo mchana wa leo.
Nyumba za mradi mkubwa wa NHC Morocco Square, Dar es Salaam zikiwa zinajengwa katika hatua ya msingi, zinavyoonekana leo wakati Waziri Lukuvi alipozitembelea.
Nyumba za mradi mkubwa wa NHC Morocco Square, Dar es Salaam zikiwa zinajengwa katika hatua ya msingi, zinavyoonekana leo wakati Waziri Lukuvi alipozitembelea.
MKUU JESHI LA POLISI NCHINI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA
Miongoni
mwa makamanda wa mikoa waliofanyiwa mabadiliko ni pamoja na aliyekuwa
kamanda wa Mkoa wa Simiyu, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Charles Mkumbo
anakwenda kuwa kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza na nafasi yake
kuchukuliwa na aliyekuwa afisa mnadhimu mkoa wa Manyara Kamishna
Msaidizi wa Polisi (ACP) Gemini Mushi.
Aliyekuwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Naibu Kamishna wa Polisi (DCP)
Valentino Mlowola anakwenda kuwa Kaimu Kamishna wa Intelijensia makao
makuu.
Aliyekuwa
kamanada wa Polisi Mkoa wa Ilala Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Maria
Nzuki amehamishwa makao makuu kuwa mkuu wa polisi jamii na nafasi yake
kuchukuliwa na aliyekuwa kamanda wa kikosi cha ufundi Kamishna Msaidizi
Mwandamizi wa Polisi (SACP) Lucas Mkondya.
Wengine ni aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Godfrey Kamwela amehamishiwa Polisi Makao Makuu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Fulgence Ngonjani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi
(SACP) Ulrich Matei amehamishiwa Kanda Maalum ya Dar es Salaam kuwa mkuu
wa utawala na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa Kamanda wa Polisi
Mkoa wa Kigoma Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Jafary Mohamed.
Aidha,
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ferdinand Mtui aliyekuwa
mkuu wa operesheni maalum polisi makao makuu ameenda kuwa Kamanda wa
Polisi mkoa wa Kigoma.
Zaidi ya hao wengine waliyohamishwa ni pamoja na aliyekuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Frasser Kashai amehamishiwa Polisi makao makuu na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa mkuu wa upelelezi mkoa wa Iringa Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Zuberi Mwombeji.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Temeke Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)
Kihenya Kihenya amehamishiwa polisi makao makuu na nafasi yake
kuchukuliwa na aliyekuwa mkuu wa polisi wa wilaya ya kati Ilala, Dar es
Salaam Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Andrew Satta.
Kwa mujibu wa kanuni, taratibu na miongozo ya Jeshi la Polisi, mabadiliko hayo ni ya kawaida katika kuhakikisha kwamba usalama wa raia na mali zao unaendelea kuimarika.
Imetolewa na:
Advera Bulimba-SSP
Msemaji wa Jeshi la Polisi.

No comments :
Post a Comment