Zoezi la kuhesabu kura nchini
Nigeria linaendelea huku rais aliyemadarakani Goodluck Jonathan
akikabiliwa na upinzani mkubwa kutoka kwa kiongozi wa zamani wa
kijeshi Muhammadu Buhari.
Tume ya uchaguzi ya Nigeria imesema
kuwa inatarajia kumtangaza mshindi wa urais hii leo, katika uchaguzi
huo ambao wapigakura walipiga kura kwa siku mbili kutokana na
hitilafu.
Umoja wa Mataifa umepongeza uchaguzi
huo licha ya kuwepo kwa hitilafu za kiufundi, maandamano ya kupinga
na vurugu zinazohusishwa na kundi la Boko Haram.
MAWAZIRI WA MATAIFA YENYE NGUVU WAKUTANA NA WAZIRI WA IRAN LEO
Mawaziri kutoka nchi sita zenye
nguvu duniani wanatarajiwa kukutana hii leo kwa siku nzima na waziri
wa mambo ya nje wa Iran kuhusiana na mpango wake wa kurutubisha
nishati ya nyuklia.
Siku ya mwisho ya kufikia
makubaliano ya Iran kusitisha mpango huo, imepangwa kuwa ni jumanne.
Lengo la makubaliano hayo ni
kuifanya Iran, kuwa mwaka mmoja nyuma kabla ya kuweza kutengeneza
mafuta ya kutosha ya nyuklia yatakayoiwezesha kutengeneza silaha ya
nyuklia.
Wawakilishi kutoka Marekani,
Ujerumani, Ufaransa, Uingereza na Urusi wanashiriki mazungumzo hayo
yanayofanyika katika Jiji la Lausanne nchini Switzerland.
SHOW YA LADY JAY DEE NA ALI KIBA ILIVYOBAMBA KIOTA CHA M.O.G BAR & RESTAURANT
Mwanamuziki
Lady Jay Dee akitoa burudani na Machozi Band Ijumaa ya tarehe 27 mwezi
huu ndani ya kiota chake cha Mog Bar & Restaurant (Nyumbani Lounge)
katika show anazofanya mara moja kwa mwezi kila Ijumaa ya mwisho wa
mwezi ambapo Ijumaa hiyo alimualika Msanii machachari wa Bongo Flava Ali
Kiba kwa ajili ya kukonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya kiota hicho.
Vijana watanashati wenye vipaji vya aina yake wa Machozi Band wakipiga Back Vocal kumpa sapoti Lady Jay Dee a.k.a Komando Binti Machozi. Kutoka kushoto ni Faraja, Omirady pamoja na Chiqitita.
Pichani juu na chini ni mashabiki wa Machozi Band wakimtunza manoti Lady Jay Dee.
Umati wa mashabiki wa Machozi Band wakipata burudani kutoka kwa band hiyo inayoongozwa na Lady Jay Dee.
Msanii nyota nchini, Ali Kiba akitoa burudani ya aina yake ndani ya kiota cha M.O.G Bar & Restaurant baada ya kutikia mualiko wa msanii mwezake Lady Jay Dee na kufanya Live Music bila kutumia CD na kuwafanya mashabiki kupagawa zaidi.
Ali Kiba akiendelea kuwaburudisha mashabiki wake Machozi Band.

UN KUENDELEA KUISAIDIA TANZANIA KUTANZUA CHANGAMOTO ZA MAENDELEO
Mgeni
rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile (katikati)
akiwasili katika ukumbi wa mikutano kwenye hoteli ya Hyatt Regency akiwa
ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi
na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo (kulia) pamoja na Mratibu Mkazi
wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la
Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez kwa ajili ya
kuzindua rasmi ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2014 Tanzania, uzinduzi
uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Nyuma yao ni
Mkurugenzi wa Programu kutoka Taasisi ya Uchumi na Utafiti wa Kijamii
nchini (ESRF), Dk. Tausi Kida.
Mshehereshaji wa uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2014 Tanzania, Taji Liundi akiitambulisha meza kuu kwa wageni waalikwa (hawapo pichani) waliohudhuria uzinduzi huo mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Meza kuu Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo, Mgeni rasmi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile na Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), Dk. Hoseana Lunogelo akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi kutoa hotuba ya uzinduzi rasmi wa Ripoti ya Maendele0 ya Binadamu 2014 Tanzania uliofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2014 Tanzania, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk. Servacius Likwelile akitoa hotuba kwenye uzinduzi huo uliofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Pichani juu na chini ni baadhi ya wadau waalikwa wakifuatilia htouba ya mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo.
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Alvaro Rodriguez akisoma risala kwenye uzinduzi wa Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2014 Tanzania uliofanyika mwishoni mwa juma jijini Dar es Salaam.

TIMU YA MPIRA WA MIGUU YA HABARI ZANZIBAR MABINGWA WA NSSF MEDIA CUP 2015
Mgeni
rasmi katika mashindano hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la
ushindi kwa Nahodha wa Timu ya Habari Zanzibar baada ya kuibuka mabingwa
wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili kushoto ni
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
Mgeni
rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi zawadi kwa
Mshindi wa pili kwa kwa Nahodha wa Timu ya IPP Media baada ya kuwa
washindi wa pili kwa mpira wa miguu wa Mashindano ya NSSF Media cup
2015. Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Ludovick
Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
Mgeni
rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman akikabidhi kombe la ushindi
kwa Nahodha wa Timu ya NSSF ya Mpira wa Pete Bi Nora Mwidunda baada ya
kuwa washindi wa pili wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015. Wapili
kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Ludovick Mrosso, na wa
kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa
Wateja Bi Eunice Chiume.
Wateja Bi Eunice Chiume.
Mgeni
rasmi katika mashinado hayo Prof. Herman Mwansoko akikabidhi kombe la
ushindi kwa Nahodha wa Timu ya Uhuru Queens ya Mpira wa Pete baada ya
kuibuka mabingwa wa Mashindano ya NSSF Media cup 2015.
Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
Wapili kushoto ni Kaimu Mkurugenzi mkuu wa NSSF Ludovick Mrosso, na wa kwanza Kulia ni Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Huduma kwa Wateja Bi Eunice Chiume.
No comments :
Post a Comment