Tuesday, October 8, 2013

PPF, YAZINDUA LOGO MPYA, DKT.MGIMWA AFUNGUA RASMI MKUTANO WA 23 WA MFUKO HUO ARUSHA

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio, akitoa taarifa ya mwaka ya utendaji kazi wa mfuko huo kwenye mkutano wa 23 wa Wanachama na wadau wa PPF kwenue ukumbi wa Simba, wa kituo cha mikutano cha kimataifa AICC jijini Arusha, Jumatano Oktoba 2, 2013. Kauli mbiu ya mkutano huo ni "PPF na Wadau; Miaka 35 ya kukua pamoja. Mkutano huo wa siku 3 ulifunguliwa na Waziri wa Fedha, Dkt. William Mgimwa, ambaye pia alizundua logo mpya wa Mfuko huo.

No comments :

Post a Comment