Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia
Taifa kwenye Maadhimisho ya siku ya Magonjwa Adimu Duniani
yaliyoadhimishwa leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar
es salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya
Magonjwa Adimu ni “Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu”.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku
Tuzo Ndugu. Ally Khamis Juma Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya
Amali Zanzibar kwa Niaba ya Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali
Zanzibar kwa kutambua mchango wake uliotukuka katika kusaidia Ustawi wa
Watoto wenye Magonjwa Adimu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa
Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo
Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo
kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni “Usawa
kwa Waishio na Magonjwa Adimu”.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku
Tuzo kwa Muwakilishi wa Kituo cha Clouds TV Babbie Kabae kwa kutambua
mchango Uliotukuka kwa Kituo hicho kuweza kutoa Habari katika kusaidia
Ustawi wa Watoto wenye Magonjwa Adimu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya
Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation,
leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo
kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni “Usawa
kwa Waishio na Magonjwa Adimu”.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Getrude
Elias Maruma Mwanafunzi wa Chuo cha IFM kwa kuweza kujitokeza Hadharani
kuelezea juu ya tatizo la Ugonjwa Adimu aliouopa, wakati wa Maadhimisho
ya Siku ya Magonjwa Adimu Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara
Foundation, leo Febuari 28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es
salaam. Ambapo kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa
Adimu ni “Usawa kwa Waishio na Magonjwa Adimu” .(Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku
Tuzo Mhe. Faustine Ndungulile Waziri wa Sayansi na Teknolojia ya Habari
kwa kutambua mchango wake uliotukuka katika kusaidia Ustawi wa Watoto
wenye Magonjwa Adimu, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Magonjwa Adimu
Duniani yaliyoandaliwa na Taasisi ya Kimara Foundation, leo Febuari
28,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam. Ambapo kauli mbiu
ya Maadhimisho ya Mwaka huu Siku ya Magonjwa Adimu ni “Usawa kwa Waishio
na Magonjwa Adimu”.