Thursday, November 1, 2018

Jaguar leads luxury car sales in 9 months

Jaguar showroom Jaguar showroom. FILE PHOTO | NMG 
VICTOR JUMA

Summary

    • The industry recorded a mixed performance, with Porsche, Land Rover and Jaguar sales rising significantly while those of Mercedes, BMW and Jeep Grand Cherokee slumping. Sales of the luxury cars stood at 190 units a year earlier, according to data from the Kenya Motor Industry Association (KMI).
    • Dealers attributed the relatively sluggish sales growth to banks’ reduced appetite for lending and the government’s profiling of tax cheats using their conspicuous consumption.

Telcos regulator seeks to monitor WhatsApp

WhatsApp WhatsApp is one of the popular chat tools. FILE PHOTO | NMG 
PATRICK ALUSHULA

Summary

    • CA is in search of a consultant to study and determine how the so-called over-the-top services (OTTS) operated by groups such as Facebook, which runs WhatsApp, and Skype owner Microsoft, could be regulated.
    • The regulator wants to have some measure of control, much like it does with other traditional telecom products such as calls and phone text messages.
    • Under CA regulation, owners of services such as WhatsApp and Skype will have to abide by “security and confidentiality provisions” demanded by law.

TIC -YAJIIMARISHA KUDHIBITI CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI WAWEKEZAJI

IMG-20181031-WA0020
Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo (anaesaini)alipotembelea banda la maonyesho ya ,kituo cha uwekezaji Tanzania( TIC )katika maonyesho ya bidhaa za viwandani Pichandege ,Kibaha Pwani,(wa kulia )ni meneja wa kanda ya Mashariki wa kituo hicho,Venance Mashiba.
Q
Mkuu wa mkoa wa Pwani mhandisi Evarist Ndikilo (kushoto )akizungumza wakati alipotembelea banda la maonyesho ya ,kituo cha uwekezaji Tanzania( TIC )katika maonyesho ya bidhaa za viwandani Pichandege ,Kibaha Pwani.
Picha na Mwamvua Mwinyi
…………………
NA MWAMVUA MWINYI,KIBAHA
MENEJA wa kanda ya Mashariki wa kituo cha uwekezaji Tanzania( TIC ),Venance Mashiba ameeleza huduma za uwekezaji ni mtambuka ambapo zinatolewa na taasisi mbalimbali ambazo taratibu zake zikigongana inasababisha changamoto ya ucheleweshaji wa huduma kwa

MATUKIO KATIKA PICHA KAMATI MBALIMBALI ZA BUNGE ZAENDELEA NA VIKAO JIJINI DODOMA

VIWANDA 1 VIWANDA 2
Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Mazingira na Utafiti kutoka Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)  Ndugu Joseph Kombe akiwasilisha taarifa Kuhusu uhifadhi wa maeneo lindwa pamoja na jitihada za Serikali za kuyahifadhi maeneo hayo mbele ya kikao cha Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Wa kwanza kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Sadiq Murad
VIWANDA 3
Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Mazingira na Utafiti kutoka Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)  Ndugu Joseph Kombe akiwasilisha taarifa Kuhusu uhifadhi wa maeneo lindwa pamoja na jitihada za Serikali za kuyahifadhi maeneo hayo mbele ya kikao cha Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.wengine ni watendaji wa Baraza hilo pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira
PIC 3
Mwenyekiti wa Kamati ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mheshimiwa Raphael Chegeni akifuatilia jambo katika kikao cha kamati hiyo  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).Pembeni yake ni Katibu wa Kamati hiyo Ndugu Amina
PIC 2
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mheshimiwa Richard Ndasa akichangia jambo katika kikao cha kamati hiyo  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).
PIC 1
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakiwa katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).
PICHA NA OFISI ZA BUNGE

WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU

Msanii wa Filamu, Wema Sepetu,  leo amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akisubiri kusomewa mashtaka ya kusambaa mitandaoni kwa video zake za faragha.
Wema amefikishwa mahakamani hapo leo Alhamisi, Novemba 1, 2018,majira ya saa 4 asubuhi akiwa amevaa miwani na kujitanda ushungi huku akisindikizwa na askari wawili ambapo alipelekwa kwenye chumba cha mahabusu cha mahakama hiyo.
Jana taarifa zilisambaa mitandaoni kuwa msanii huyo ambaye ni mshindi wa Taji la Miss Tanzania Mwaka 2006, alikuwa amekamatwa na polisi lakini taarifa hizo hazikuthibitishwa.
Hivi karibuni msanii huyo alisambaza mitandaoni video zake za faragha akiwa na mpenzi wake, anayejulikana kama PCK. Licha ya kuomba radhi siku chache baadaye, Bodi ya Filamu nchini ilimfungia msanii huyo kujihusisha na masuala ya sanaa kwa muda usiojulikana huku ikisema adhabu yake halisi inakuja.