Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Benki ya Dunia inayoshughulika na utoaji Mikopo kwenye Sekta Binafsi, Kanda ya Afrika (International Finance Corporation-IFC), Bw. Sergio Pimenta, baada ya mazungumzo yaliyolenga kuisaidia sekta binafsi nchini Tanzania, mazungumzo hayo yalifanyika Washington DC, Marekani, wakati wa Mikutano ya Majira ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kushoto), akiwa na Makamu wa Rais wa Taasisi ya Benki ya Dunia inayoshughulika na utoaji Mikopo kwenye Sekta Binafsi, Kanda ya Afrika (International Finance Corporation-IFC), Bw. Sergio Pimenta, baada ya mazungumzo yao yaliyolenga kuisaidia sekta binafsi nchini Tanzania, mazungumzo yaliyofanyika Washington DC, Marekani, Kando ya Mikutano ya Majira ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba, akizungumzia mchango wa Taasisi ya Benki ya Dunia inayoshughuika na utoaji mikopo kwenye sekta binafsi nchini Tanzania, akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye kikao hicho kilichofanyika Jijini ashington DC Marekani, wakati wa mikutano ya majira ya kipupwe ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa–IMF.
Makamu wa Rais wa Taasisi ya Benki ya Dunia inayoshughulika na utoaji Mikopo kwenye Sekta Binafsi, Kanda ya Afrika (International Finance Corporation-IFC), Bw. Sergio Pimenta, akisisitiza jambo wakati alipokutana na ujumbe wa Tanzania kujadili mchango wa Taasisi hiyo katika ukuaji na uendelevu wa sekta binafsi nchini Tanzania, mkutano uliofanyika Jijini Washington DC, Marekani.
Masolwa-Afisa Dawati Benki ya Dunia-Wizara ya Fedha na Dkt. Suleiman Misango -Mkurugenzi wa Tafiti za Uchumi-BoT.Katibu Mkuu Wizara ya Fefdha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba, akiwa katika mkutano na uongozi wa Taasisi ya Benki ya Dunia inayoshughulika na utoaji mikopo kwenye Sekta Binafsi (IFC), Jijini Washington DC, Marekani. Kushoto ni Kamishna wa Idara ya Fedha na Mipango, Bi Sauda Msemo. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-Wizara ya Fedha na Mipango-Washington DC)
Mshauri Mwandamizi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kanda ya Afrika, Dkt. Zarau Kibwe (kushoto) na Kamishna wa Idara ya Fedha za Nje wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Sauda Msemo, wakifuatilia mjadala kuhusu