Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Lt. Mstaafu Chiku Galawa mara
baada ya kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Songwe tayari
kwa ziara ya siku 5.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuwasili
kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Songwe tayari kwa ziara ya siku
5.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimia na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Juliana Shonza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa
ndege wa Songwe tayari kwa ziara ya siku 5.(PICHA NA OMR)

No comments :
Post a Comment