Pages

Sunday, July 22, 2018

MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA SIKU TANO MKOANI SONGWE



 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mhe. Lt. Mstaafu Chiku Galawa mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Songwe tayari kwa ziara ya siku 5.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Songwe tayari kwa ziara ya siku 5.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimia na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Songwe tayari kwa ziara ya siku 5.(PICHA NA OMR)

No comments:

Post a Comment