Kikundi cha
Jogging kutoka Dodoma kikishiriki katika Bonanza maalum la kuwakaribisha
watumishi wa umma waliohamia Jijini Dodoma.Bonanza hilo limefanyika katika
Uwanja wa Jamhuri.
Kaimu katibu
Mkuu Kiongozi Dkt.Florens Turuka (mwenye fulana ya blue mbele)akishiriki mazoezi ya mbio
za polepole(jogging) na viongozi wengine wa Serikali wakati wa Bonanza maalum
la kuwakaribisha watumishi wa umma waliohamia Jijini Dodoma. Bonanza hilo
limeandaliwa na Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na limefanyika katika uwanja wa
jamhuri Jijini Dodoma.
Viongozi
mbalimbali wa Serikali wakishiriki katika mazoezi ya viungo kabla ya kuanza kwa
mbio za polepole(jogging) wakati wa Bonanza maalum la kuwakaribisha watumishi
wa umma waliohamia Jijini Dodoma.Bonanza hilo limefanyika katika Uwanja wa
Jamhuri.
Kaimu katibu
Mkuu Kiongozi Dkt.Florens Turuka,Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi.Suzan Mlawi na Katibu Mkuu Wizara ya
Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Bi Sihaba Nkinga wakishiriki katika Bonanza maalum la
kuwakaribisha watumishi wa umma waliohamia Jijini Dodoma.Bonanza hilo
limefanyika katika Uwanja wa Jamhuri.
Kaimu katibu
Mkuu Kiongozi Dkt.Florens Turuka na Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi.Suzan Mlawi wakikagua timu ya mpila wa
pete kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo wakati wa Bonanza
maalum la kuwakaribisha watumishi wa umma waliohamia Jijini Dodoma.Bonanza hilo
limefanyika katika Uwanja wa Jamhuri.
Kaimu katibu
Mkuu Kiongozi Dkt.Florens Turuka,Katibu
Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Bi.Suzan Mlawi wakikagua timu
ya mpila wa pete kutoka Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora wakati wa Bonanza maalum la
kuwakaribisha watumishi wa umma waliohamia Jijini Dodoma.Bonanza hilo
limefanyika katika Uwanja wa Jamhuri.
Kaimu katibu
Mkuu Kiongozi Dkt.Florens Turuka
akizungumza na timu za mpila wa pete kutoka Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora wakati
wa Bonanza maalum la kuwakaribisha watumishi wa umma waliohamia Jijini
Dodoma.Bonanza hilo limeandaliwa na Wizara ya Habari,Utamaduni na Michezo na
limefanyika katika uwanja wa jamhuri Jijini Dodoma.
Timu ya Viongozi mbalimbali kutoka Serikalini wakiongozwa na Kaimu katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Florens Turuka wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa Bonanza maalum la kuwakaribisha watumishi wa umma waliohamia Jijini Dodoma.Bonanza hilo limefanyika katika Uwanja wa Jamhuri.(PICHA:DAUDI MANONGI, MAELEZO)
No comments :
Post a Comment