Monday, April 4, 2022

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua na Kugawa Vitendea Kazi mbalimbali kwa Maafisa Ugani Kilimo nchini katika hafla iliyofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 04 Aprili, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akigawa pikipiki kwa waakilishi wa Maafisa Ugani 7000 katika hafla iliyofanyika nje ya Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma leo tarehe 04, Aprili, 2022. Kulia ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na kushoto ni Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe



 











No comments :

Post a Comment