Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati) akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Bunge, Sera) Mhe. George Simbachawene (kushoto) na Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi (kulia), kiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya Bunge iliyokutana kujadili ratiba ya Mkutano wa Saba wa Bunge unaoanza kesho tarehe 05 Aprili, 2022 Jijini Dodoma. Mkutano huu ni mahsusi kwa ajili ya kujadili na kupitisha Bajeti ya Serikali. Pamoja na mambo mengine imeamuliwa Bunge sasa litaruka Mubashara.




No comments :
Post a Comment