***************************************
Hii
ni nyenzo ambayo inakusudiwa kukusanya taarifa kutoka kwa waandishi wa
Habari Wanawake nchini Tanzania (Bara na Visiwani) kufuatia mlipuko wa
ugonjwa wa COVID-19 ambao umeathiri sana Sekta ya Habari na maisha ya waandishi Habari wa Habari duniani.
Taarifa
zitakazokusanywa zitatumika kushawishi Serikali,Washirika wa Maendeleo
na wadau wengine kusaidia hasa waandishi wa Habari Wanawake tukiamini
kuwa wamekumbwa na changamoto hii kwa namna ya tofauti kuhakikisha
hawayumbi sana kitaaluma wakati huu na baada ya janga hili.
No comments :
Post a Comment