Saturday, May 2, 2020

DILLIAN WHITE NA POVETKIN KUZIPIGA LEO MANCHESTER


Promota Eddie Hearn amesema pambano la ngumi za kulipwa la uzito wa juu kati ya Dillian Whyte (kushoto) na Alexander Povetkin (kulia) litafanyika bila watazamaji  ukumbu wa Manchester Arena, England kesho kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona kipindi hiki misongamano ya watu imezuiwa duniani kote sababu ya mlipuko wa virusi hivyo vinavyosababisha ugonjwa hatari wa COVID 19

No comments :

Post a Comment