Promota Eddie Hearn amesema pambano la ngumi za kulipwa la
uzito wa juu kati ya Dillian Whyte (kushoto) na Alexander Povetkin
(kulia) litafanyika bila watazamaji ukumbu wa Manchester Arena, England
kesho kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona kipindi hiki
misongamano ya watu imezuiwa duniani kote sababu ya mlipuko wa virusi
hivyo vinavyosababisha ugonjwa hatari wa COVID 19
No comments:
Post a Comment