Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akiongoza Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo
Bungeni jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30
Juni, 2020.
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akiteta jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga
Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19
kikao cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo
unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Kawe, Mhe. Halima Mdee
akichangia jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza
kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia
kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Rufiji, Mhe. Mohamed
Mchengerwa akizungumza jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao
cha kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo
unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mbunge wa Iringa Mjini, Mch. Peter
Msigwa akizungumza jambo wakati wa Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha
kwanza kilichoanza leo Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo
unatarajia kumalizika tarehe 30 Juni, 2020.
Mawaziri Mbali mbali
washiriki Bunge la 11 Mkutano wa 19 kikao cha kwanza kilichoanza leo
Bungeni Jijini Dodoma huku Mkutano huo unatarajia kumalizika tarehe 30
Juni, 2020.
PICHA NA OFISI YA BUNGE
No comments :
Post a Comment