Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia), akizindua Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu
Jijini Dodoma, kushoto ni mwenyeji wake Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Dkt. Ashatu Kijaji (Mb).
Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia), akizindua rasmi matumizi ya Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu Jijini
Dodoma, wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb).
Muonekano
wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Jijini Dodoma, lililozinduliwa na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.
Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia), akimkabidhi Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), kitabu cha matokeo
ya viashiria muhimu vya utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi kwa
Tanzania Bara wa mwaka 2017/18, jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (wa pili kulia), akielekea jukwaani kuzungumza na
wadau wa takwimu, baada ya kuzindua Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa sita kulia) na viongozi wengine wakiwa wamenyanyua kitabu
cha matokeo ya viashiria muhimu vya utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya
binafsi kwa Tanzania Bara wa mwaka 2017/18, jijini Dodoma.
Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (katikati), Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe.
Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa tatu kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji
wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu na wengine,
baada ya kuzindua rasmi matumizi
ya Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu
Jijini Dodoma.
Baadhi
ya wadau wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani),
alipokuwa akizungumzia umuhimu wa takwimu bora katika mipango ya nchi.
No comments :
Post a Comment