Pages

Saturday, June 29, 2019

JITIHADA ZA SERIKALI KUPUNGUZA UMASIKINI ZAFANIKIWA

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia), akizindua Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu Jijini Dodoma, kushoto ni mwenyeji wake Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb).
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia), akizindua rasmi matumizi ya  Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu Jijini Dodoma, wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,  Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb).

Muonekano wa Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Jijini Dodoma, lililozinduliwa na  Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (kulia), akimkabidhi  Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,  Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), kitabu cha matokeo ya viashiria muhimu vya utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi kwa Tanzania Bara wa mwaka 2017/18, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (wa pili kulia), akielekea jukwaani kuzungumza na wadau wa takwimu, baada ya kuzindua Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS). Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb)

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa sita kulia)  na viongozi wengine wakiwa wamenyanyua kitabu cha matokeo ya viashiria muhimu vya utafiti wa mapato na matumizi ya Kaya binafsi kwa Tanzania Bara wa mwaka 2017/18, jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (katikati), Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (wa tatu kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu na wengine,  baada ya  kuzindua rasmi matumizi ya  Jengo la Ofisi ya Taifa ya Takwimu Jijini Dodoma.

Baadhi ya wadau wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani), alipokuwa akizungumzia umuhimu wa takwimu bora katika mipango ya nchi.

No comments:

Post a Comment