Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mke wa Balozi wa Tanzania nchini
China na Waziri wa Madini, Angela Kairuki wakati alipowasili kwenye
ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing China kuzungumza na Watanzania,
Septemba 2, 2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea ua kutoka kwa mtoto Johari Said Masoro
wakati alipowasili kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing kuzungumza
na Watanzania waishio nchini China, Septemba 2, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio nchini China
Kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing, Septemba 2, 2018.

Baadhi
ya Watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza nao Kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini
China, Septemba 2, 2018
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio nchini China
baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing
Septemba 2, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania
waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania
uliopo Beijing nchini China Septemba 2, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa
mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine
Mahiga na kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa
Kairuki.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio nchini China
baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing
Septemba 2, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio nchini China
baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing
Septemba 2, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio nchini China
baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing
Septemba 2, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio nchini China
baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing
Septemba 2, 2018.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio nchini China
baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing
Septemba 2, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment