Pages

Sunday, September 2, 2018

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATANZANIA WAISHI CHINA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na mke wa Balozi wa Tanzania nchini China na  Waziri wa Madini, Angela Kairuki wakati alipowasili kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing China kuzungumza na Watanzania, Septemba 2, 2018. Katikati ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea ua kutoka kwa mtoto Johari Said Masoro wakati alipowasili kwenye Ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing kuzungumza na Watanzania  waishio nchini China, Septemba 2, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio nchini China Kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing, Septemba 2, 2018.

 Baadhi ya Watanzania wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao Kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China, Septemba 2, 2018
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing Septemba 2, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing nchini China Septemba 2, 2018. Kulia kwake ni Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga na kushoto kwake ni Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing Septemba 2, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing Septemba 2, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing Septemba 2, 2018.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing Septemba 2, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Watanzania waishio nchini China baada ya kuzungumza nao kwenye ubalozi wa Tanzania uliopo Beijing Septemba 2, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment