Waziri wa
Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi, na Watu wenye
Ulemavu, Mh. Jenista Mhagama, akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa
Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi
ya Jamii (SSRA) Bi Amina Ally aliotembelea banda la SSRA wakati wa
Maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi
(OSHA) yanayoendelea mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi na Watu wenye
Ulemavu, Mh. Jenista Mhagama akiatoa maelekezo wakati alipotembelea
banda la Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) kwenye
Maonyesho ya Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi
(OSHA) yanayoendelea mjini Moshi mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira, Kazi na Watu wenye
Ulemavu, Mh. Jenista Mhagama, akimkabidhi cheti cha Ushiriki Kaimu
Meneja wa Rasilimali watu na Utawala wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya
Hifadhi ya Jamii (SSRA). Bi. Amina Ally wakati wa kilele cha maonesho
ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi yanayoendelea Mjini Moshi,
mkoani, Kilimanjaro.
Afisa
Matekelezo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),
akigawa vipeperushi kwa wananchi waliotembelea banda la SSRA wakati wa
Maonesho ya OSHA yanayondelea Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Afisa
Uhusiano na Uhamasishaji wa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya
Jamii (SSRA), Bw. Ally Masaninga akitoa maelezo kwa wananchi
waliotembelea banda la SSRA, wakati wa Maonesho ya OSHA yanayondelea
Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Maafisa
wa SSRA, wakitoa ufafanuzi juu ya Masuala yanayohusu Sekta ya Hifadhi ya
Jamii kwa wadau waliotembelea banda la mamlaka hiyo, wakati wa Maonesho
ya OSHA, yanayoendelea Mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Wananchi
wakisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa wa SSRA, wakati wa maonesho ya
OSHA, yanayofanyika mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.
Wadau
waliotembelea banda la SSRA, wakijipatia vipeperushi wakati wa maonesho
ya Maadhmisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahala pa Kazi yanayofanyika
Mkoani Kilimanjaro.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment