WAFANYABIASHARA DAR WANUFAIKA NA MAFUNZO YA KIJASIRIAMALI
Mkurugenzi
wa Jiji la Dar es Salaam, Spora Liana akizungumza kufungua mkutano wa
wafanyabiashara wa Dar es Salaam "NMB Business Club' waliokutanishwa na
benki hiyo jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya
biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao.
Afisa
Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja wadogo na wakati, Abdulmajid Nsekela
(kulia) akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa '"NMB Business
Club' waliokutanishwa na NMB jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la
kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao.
Afisa
Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja wadogo na wakati, Abdulmajid Nsekela
akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa
wafanyabiashara wa "NMB Business Club' waliokutanishwa na NMB jana
jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na
kodi ili kukuza biashara zao. Takribani wafanyabiashara zaidi ya 500
walishiriki mkutano huo wa mafunzo ya biashara jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa NMB Business Club Mkoa wa Dar es Salaam, Ezekiel Gutti akizungumza
na wanahabari (hawapo pichani) kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa
'"NMB Business Club' waliokutanishwa na NMB jana jijini Dar es Salaam
kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza
biashara zao. Takribani wafanyabiashara zaidi ya 500 walishiriki mkutano
huo wa mafunzo ya biashara jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wafanyabiashara walioshiriki mkutano huo.
Meneja wa
Benki ya NMB Kanda ya Dar es salaam na Pwani, Vick Bishubo (kulia)
akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa Dar es Salaam "NMB
Business Club' waliokutanishwa na benki hiyo jana jijini Dar es Salaam
kwa lengo la kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza
biashara zao.
Afisa
Mkuu wa NMB Kitengo cha Wateja wadogo na wakati, Abdulmajid Nsekela
(kulia) akizungumza kwenye mkutano wa wafanyabiashara wa '"NMB Business
Club' waliokutanishwa na NMB jana jijini Dar es Salaam kwa lengo la
kutoa mafunzo ya biashara pamoja na kodi ili kukuza biashara zao.
No comments :
Post a Comment