Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
inapenda kuwashukuru wananchi na wafanyabiashara wote wa Mkoawa Dar es
Salaam kwa ushirikiano walioutoa wakati wa zoezi la kuhakiki Namba ya
Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN) kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo awamu
ya kwanza ya zoezi hili ilianza rasmi tarehe 16/08/2016 na kuhitimishwa
tarehe31/01/2017.
Hata hivyo kutokana na sababu
mbalimbali imebainika kwamba baadhi ya wananchi walishindwa kukamilisha
zoezi hilo katika muda uliopangwa.
Mamlaka inapenda kuwatangaziaw
akazi wote wa Dares Salaam kuwa wale wote wenye TIN ambazo
hazikuhakikiwa wanapaswa kutembelea ofisi za Mamlaka katika Mikoa yao ya
Kodi kwa maelekezo ya uhakiki.
Tunapenda kusistiza kwamba wahusika watalazimika kuhakiki taarifa zao kabla ya kupata huduma zifuatazo:
- Kulipia ushuru wa forodha kwa bidhaa zinazotoka na kuingia Nchini
- Kuhuisha leseni za udereva
- Kulipia ada ya mwaka ya gari
- Kulipa kodi nyinginezo zinazosimamiwa na Mamlaka
- Kupata cheti cha uhalali wa ulipaji kodi (Tax Clearance Certificate)
Kwawananchiwaliokonjeyanchikwasababumbalimbalikatikakipindi
cha uhakiki,
wanafahamishwakwambawatahakikipindiwatakaporudinchinikwakuoneshavielelezovyakuthibitishawakutokuweponchini.
Baadayakumalizaawamuya kwanza
yauhakikikwamkoawa Dar es Salaam,
MamlakaitaendeleanaawamuyapilikatikamikoayaArusha,Kilimanjaro,Mwanza,Dodoma,Mbeya,Morogoro,
TanganaPwani.Zoezilitaanzarasmitarehe 15/02/2017 nakumalizikatarehe
31/03/2017.Tareheyakuanzakuhakikikatikamikoamingineiliyobakiitatangazwabaadae.
PiakwawatakaobainikakuwanaTIN
zaidiyamoja, utaratibuulioponiwakuhuishataarifayamojawapoyaTIN
hizonakuzifunganyinginezo.Endapomtuanamadeniyakodikatikamojawapoya TIN
hizo au
zaidi,utaratibuwakudaimadeniutaendeleakwamujibuwasherianaMamlakahaitamzuiamwenyedenikuhakiki
TINyake.
Mamlakainatoawitokwawafanyabiasharanawananchikwaujumlakuendeleakutoaushirikianowakaribuilikukamilishazoezihilikwawakati.Piatunawakumbushawananchiwotekuwalengo
la zoezihilinikuhuishanakupatataarifasahihizamlipakodinasivinginevyo.
Kwaufafanuzizaiditafadhaliusisitekuwasiliananakituo
cha hudumakwawalipakodikwakupigasimuzabure: 0800750075/0800780078 au
Baruapepe huduma@tra.go.tz
‘’PamojaTunajengaTaifaLetu’’
Richard M. Kayombo
MKURUGENZI WA HUDUMA NA ELIMU KWA MLIPAKODI
No comments :
Post a Comment