Pages

Thursday, February 2, 2017

TAARIFA YA UHAKIKI WA TIN DAR ES SALAAM.


 pic+traQQQQQQQQQQQQQ
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwashukuru wananchi na wafanyabiashara wote wa Mkoawa Dar es Salaam kwa ushirikiano walioutoa wakati wa zoezi la kuhakiki Namba ya Utambulisho wa Mlipa kodi (TIN) kwa Mkoa wa Dar es Salaam ambapo awamu ya kwanza ya zoezi hili ilianza rasmi tarehe 16/08/2016 na kuhitimishwa tarehe31/01/2017.

Hata hivyo kutokana na sababu mbalimbali imebainika kwamba baadhi ya wananchi walishindwa kukamilisha zoezi hilo katika muda uliopangwa.
Mamlaka inapenda kuwatangaziaw akazi wote wa Dares Salaam kuwa wale wote wenye TIN ambazo hazikuhakikiwa wanapaswa kutembelea ofisi za Mamlaka katika Mikoa yao ya Kodi kwa maelekezo ya uhakiki.
Tunapenda kusistiza kwamba wahusika watalazimika kuhakiki taarifa zao kabla ya kupata huduma zifuatazo:
  1. Kulipia ushuru wa forodha kwa bidhaa zinazotoka na kuingia Nchini
  2. Kuhuisha leseni za udereva
  3. Kulipia ada ya mwaka ya gari
  4. Kulipa kodi nyinginezo zinazosimamiwa na Mamlaka
  5. Kupata cheti cha uhalali wa ulipaji kodi (Tax Clearance Certificate)
Kwawananchiwaliokonjeyanchikwasababumbalimbalikatikakipindi cha uhakiki, wanafahamishwakwambawatahakikipindiwatakaporudinchinikwakuoneshavielelezovyakuthibitishawakutokuweponchini.
Baadayakumalizaawamuya kwanza yauhakikikwamkoawa Dar es Salaam, MamlakaitaendeleanaawamuyapilikatikamikoayaArusha,Kilimanjaro,Mwanza,Dodoma,Mbeya,Morogoro, TanganaPwani.Zoezilitaanzarasmitarehe 15/02/2017 nakumalizikatarehe 31/03/2017.Tareheyakuanzakuhakikikatikamikoamingineiliyobakiitatangazwabaadae.
PiakwawatakaobainikakuwanaTIN zaidiyamoja, utaratibuulioponiwakuhuishataarifayamojawapoyaTIN hizonakuzifunganyinginezo.Endapomtuanamadeniyakodikatikamojawapoya TIN hizo au zaidi,utaratibuwakudaimadeniutaendeleakwamujibuwasherianaMamlakahaitamzuiamwenyedenikuhakiki TINyake.
Mamlakainatoawitokwawafanyabiasharanawananchikwaujumlakuendeleakutoaushirikianowakaribuilikukamilishazoezihilikwawakati.Piatunawakumbushawananchiwotekuwalengo la zoezihilinikuhuishanakupatataarifasahihizamlipakodinasivinginevyo.

Kwaufafanuzizaiditafadhaliusisitekuwasiliananakituo cha hudumakwawalipakodikwakupigasimuzabure: 0800750075/0800780078 au Baruapepe huduma@tra.go.tz

‘’PamojaTunajengaTaifaLetu’’


Richard M. Kayombo
MKURUGENZI WA HUDUMA NA ELIMU KWA MLIPAKODI

No comments:

Post a Comment